masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Mambosasa ajiandae kwenda Lindi kisha Muroto a.k.a Mr. Misifa aje Dar.View attachment 1776753
Yule wa Dodoma alikuwa Wazo.
Aliondoka Dar kwa kashfa mbaya ya kubambika ujambazi a.k.a style ya Zombe.
Bahati vyombo vingine vilinasa mpango na kudhibiti.
Wengine wanaweza vunjika moyo kuwa hapigi kazi,hulioni hilo!Wakaazi wa Dar ebu acheni kudemka,tatizo la ujambazi linamsubiri askari aliyehamishwa.
Mobutu ana trend hata sasa, na Stalin, na Putin hata Idi Amin.Na ataendelea kuwatesa hadi kizazi chenu cha kumi! JPM was one the rare African Leaders species born in our time ndio maana pamoja na kwamba aliishafariki, JF HAIWEZI kukaa bila threads zake na ikabaki salama! That's Legacy fella!!!!
Alikuwa mumeo?Na ataendelea kuwatesa hadi kizazi chenu cha kumi! JPM was one the rare African Leaders species born in our time ndio maana pamoja na kwamba aliishafariki, JF HAIWEZI kukaa bila threads zake na ikabaki salama! That's Legacy fella!!!!
Kwa hiyo bado umekwamia awamu iliyopita kiasi hicho,kwani upo kona gani ukiendelea kuteseka.Nchi inaelekea halijojo tangu jpm aondoke kila kitu kinakufa ,huyu anategemeq mtu mmoja akomeshe ujambawazi kwa eneo lenye watu zaid ya million 6
Nawe unatesekea awamu ipi.Ukweli utabaki ukweli Magufuli alidhibiti ujambazi,mauaji Ya albino,ugonvyi wa wafugaji na wakulima.siyo la kamanda fulani
Kwa wabongo ndivyo ilivyo,sasa wanasikia fursa huenda zikaanza kuwaniwa hata na majirani zao wachapakazi wanatetemeka.Kuna Mama mmoja alitolewa Dar, ukiwa mchapa kazi unatolewa kwa majungu hii nchi bhana
Nchi sasa ndo inasimama... huyo ulomtaja mwache apumzike aliko. Alituharibia nchi mnoNchi inaelekea halijojo tangu jpm aondoke kila kitu kinakufa ,huyu anategemeq mtu mmoja akomeshe ujambawazi kwa eneo lenye watu zaid ya million 6
Tatizo sio kulala kwake, ila ni falsafa yake aliyoiacha kwenye mioyo ya watanzania wenye utimamu wa akili kuhoji mambo y msingi π.
Mama anaanza kupuyanga mapema mno. Moja ya jukumu kubwa alilonalo ni kufuatilia mambo kwa kina ili kuepuka kutoa majibu yanayoacha maswali ktk kutatua changamoto zinazolikabili Taifa letu.
Kweli MKUU hata kwenye Tim ya mpira japo wachezaji wote wanacheza ila bado yupo mtu muhim kwamba akikosa Mambo hayaendi Kama ilivyokusudiwa,Watu wanalaumu ila hawajui nguvu ya huyo Askari mpaka Raisi anatambua uwezo wake, kuna watu ni master chess players wanajua kuchezesha watu mpaka basi ndio maana unaweza kuta kuna askari wengi wazuri lakini bila ya kuwa na mtu wa strategy potential yao haionekani sembuse kutumika!
Kupunguza ukali wa maneno sio kwamba mtu amanishi, kauli ya rais ni kauli strong bila kujali umeongea kwa kufoka au kwa taratibu swala ni kauli na muhusika katiba organ husika lazima kuifanyia kazi , kulingana na wajibu wako ,mtasema mengi maana mlishazoea kufoka KWA mwendazake ndo uongozi, Tahasis nyeti katika nzi Kama USA zinapiga matukio mazito wapi umewai sikia marais kufokafoka tofauti uyo trump KWA akili zake mbovuhivi kwanini mama huwa hatoi orders kama commander in chief, huwa anapenda kusema tutaangalia huko mbele. pale kwa majambazi alitakiwa kusema, sitaki kusikia ujambazi Dar.
Mie jamaa nikiwaonaga jamaa wale kanzu wanatoka kwenye zile landrover huwa na cheka tu, yaani jamaa wanakua kama wana/washikaji hivi kumbeee daahh!!!Sasa naziona land lover zikiwa zimejaa wahalifu na askari kanzu wamevalia jezi mpira wakienda mabwepande kucheza mpira na majambazi .....waanze na wanunuzi wa spare magari waliokamatwa pia wanunuzi wa TV hasa vibanda umiza...ndio wateja wao