KAMATI YA ULINZI NA USALAM Mkoa wa DSM chini ya mwenyekiti wake pamoja na kamati za Wilaya zote 5, Ilala, Temeke, Ubungo, Kinondoni na Kigamboni wakisaidiana na Jeshi la Polisi wanalo Jukumu la Kusimamia Amani na Usalama wa RAIA ktk maeneo yao husika.
anzisheni patrol za kila siku ktk maeneo yenu, vijiwe vya wavuta bangi na madawa mengine ya kulevya lazima vyote vibainishwe na viteketezwe kwa nguvu zote na kwa ushirikiano wa wenyeviti wa serikali za mitaa.
Sisi wananchi pia tunawafahamu wahalifu ktk maeneo yetu, lazima tuwafichue.
Majambazi, wezi na vibaka sio watu wa kuwachekea hata kidogo lazima tuwashughulikie kikamilifu.
Majambazi, wezi na vibaka lazima washughulikiwe ipasavyo.