HOJA Askari Polisi Wastaafu tulipwe stahiki zinazoendana na uhalisia, kiasi tunachopewa ni kidogo sana

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sisi askari wastaafu tunaeleza haya kwa uchungu mkubwa sana kero na dhuluma inayotupata wastaafu kutoka kwa viongozi wetu.

Hivi karibuni kuna Viongozi walisema kwamba sisi tunaolalamika kwamba tulishindwa "kujiandaa" kabla ya kustaafu!

Wanasema eti tulipostafu tulishindwa kujiandaa wakati tulipoingia uraiani. Hiyo kauli ina maana gani? Kujiandaa wanamaanisha nini kuchukua rushwa au? Wanataka askari ashindwe kutenda ukweli na uaminifu kazini kwake kwa sababu tu anaambiwa "alishindwa kujiandaa"?

Kuna waliofanya kazi Serikalini kwa zaidi ya miaka 30 lakini wanakuja kupewa shilingi milioni 29! Kisha nyingine wanasema watatupa taratibu, badala ya kutulipa fedha zetu zote kwa pamoja baada ya kulitumikia taifa hili kwa miaka zaidi yote hiyo, wanatupa fedha hizo kidogo kidogo, wanakata na kukokotoa wanavyotaka wao!

Wanatupa labda laki tatu na nusu au laki mbili, tena kwa kusuasua kila mwezi. Hivi hizo pesa ndogondogo zinasaidia nini kwa mtu aliyestaafu ambaye bado ana watoto wanaosoma na wanahitaji ada na mahitaji mengine?

Mtu amepambana na kulitumikia taifa miaka 34 au zaidi, halafu leo anapewa shilingi milioni 29 kidogo kidogo kana kwamba wanatufanyia biashara na fedha zetu!

Hali hii inatufanya wastaafu wengi tuishi kwa shida na dhiki kubwa, na wengine wanajikuta wanakufa kwa mawazo na shinikizo la damu, au hata kujinyonga kwa sababu ya maisha magumu huku haki zao zikiwa zimeshikiliwa.

Tena ukitaka kujitokeza kuongea na kulalamika, unakabiliwa na vitisho na hofu ya kutekwa au kufanyiwa mambo mabaya! Ndio maana askari wengi wadogo wanaumia na kulia kimya kimya lakini viongozi wa juu hawajali kwa sababu wao wana mifuko mikubwa.

Wito wangu na ombi letu kubwa kwa serikali na uongozi wa Jeshi la Polisi na Jeshi la Magereza kote nchini (ikiwemo Mkoani Manyara na Tanzania nzima): Tulipeni stahiki zetu zote kwa mkupuo mmoja bila kutukata wala kutulipa kidogo kidogo!

Tulipeni pesa zetu zote tulizozifanyia kazi kwa jasho na uaminifu wetu ili tukazitumie kujikimu na kusomesha familia zetu.
Huku nako mpo?
 
Huyu atakua tapeli, askari wanavyojituma kwa serikali tukufu ya CCM hawawezi kukosa chini ya million 200 na Mgambo labda ndio wanaweza kupata million 50 na ushee wakistaafu..
 
Attachments

  • Screenshot_20261005_190526_Chrome.jpg
    Screenshot_20261005_190526_Chrome.jpg
    22.5 KB · Views: 8
MAlipo ya kupiga watuu ndio.hayoo soo tulieni dawa iwaingiee na hatutaki kelele

Kama mlivyokuwa mkijipigia watuu
Endeleeni kupigwa nanyi soo usumbufuu hatutaki huku jukwaani.

Na hata hivyo moja wa ya watu wa ccm
Amesema nynyi ni Ccm
Soo.nendeni ofii si za chama chenu kinachodai MAMBO YA UTUU
Hapana hupaswi kumjibu hivyo sio Kila askari ni mbaya, hilo la kikokotoo ni la watumishi wote afande watumishi wengi wanalia
 
mapato toa matumizi.. jibu linakuja hasi ,dusko dusko lazima ihusike hapo.
 
Sisi askari wastaafu tunaeleza haya kwa uchungu mkubwa sana kero na dhuluma inayotupata wastaafu kutoka kwa viongozi wetu.

Hivi karibuni kuna Viongozi walisema kwamba sisi tunaolalamika kwamba tulishindwa "kujiandaa" kabla ya kustaafu!

Wanasema eti tulipostafu tulishindwa kujiandaa wakati tulipoingia uraiani. Hiyo kauli ina maana gani? Kujiandaa wanamaanisha nini kuchukua rushwa au? Wanataka askari ashindwe kutenda ukweli na uaminifu kazini kwake kwa sababu tu anaambiwa "alishindwa kujiandaa"?

Kuna waliofanya kazi Serikalini kwa zaidi ya miaka 30 lakini wanakuja kupewa shilingi milioni 29! Kisha nyingine wanasema watatupa taratibu, badala ya kutulipa fedha zetu zote kwa pamoja baada ya kulitumikia taifa hili kwa miaka zaidi yote hiyo, wanatupa fedha hizo kidogo kidogo, wanakata na kukokotoa wanavyotaka wao!

Wanatupa labda laki tatu na nusu au laki mbili, tena kwa kusuasua kila mwezi. Hivi hizo pesa ndogondogo zinasaidia nini kwa mtu aliyestaafu ambaye bado ana watoto wanaosoma na wanahitaji ada na mahitaji mengine?

Mtu amepambana na kulitumikia taifa miaka 34 au zaidi, halafu leo anapewa shilingi milioni 29 kidogo kidogo kana kwamba wanatufanyia biashara na fedha zetu!

Hali hii inatufanya wastaafu wengi tuishi kwa shida na dhiki kubwa, na wengine wanajikuta wanakufa kwa mawazo na shinikizo la damu, au hata kujinyonga kwa sababu ya maisha magumu huku haki zao zikiwa zimeshikiliwa.

Tena ukitaka kujitokeza kuongea na kulalamika, unakabiliwa na vitisho na hofu ya kutekwa au kufanyiwa mambo mabaya! Ndio maana askari wengi wadogo wanaumia na kulia kimya kimya lakini viongozi wa juu hawajali kwa sababu wao wana mifuko mikubwa.

Wito wangu na ombi letu kubwa kwa serikali na uongozi wa Jeshi la Polisi na Jeshi la Magereza kote nchini (ikiwemo Mkoani Manyara na Tanzania nzima): Tulipeni stahiki zetu zote kwa mkupuo mmoja bila kutukata wala kutulipa kidogo kidogo!

Tulipeni pesa zetu zote tulizozifanyia kazi kwa jasho na uaminifu wetu ili tukazitumie kujikimu na kusomesha familia zetu.
Kumbe mpo humu? Majibwa ya ccm
 
Mlio reply majibu hasi kwa jamaa mnakosea

Na jamaa alichokosea ni kuwatetea askari wakati hili ni la watumishi wote

Nawaonea huruma sana watumishi waliobakiza miaka michache kustaafu asee hii ni hatari sana

Serikali kwanini inakaa na pesa za Wananchi na hiyo mifuko kuifanyia miradi badala ya watu kulipwa pesa zao huu ni uonevu uliokithiri

Serikali iliangalie kwa jicho la kipekee mtumishi alitakiwa apate milioni 80, anapata milion 30 na inayobaki analipwa kidogo kidogo hii mbaya sana asee
 
Sisi askari wastaafu tunaeleza haya kwa uchungu mkubwa sana kero na dhuluma inayotupata wastaafu kutoka kwa viongozi wetu.

Hivi karibuni kuna Viongozi walisema kwamba sisi tunaolalamika kwamba tulishindwa "kujiandaa" kabla ya kustaafu!

Wanasema eti tulipostafu tulishindwa kujiandaa wakati tulipoingia uraiani. Hiyo kauli ina maana gani? Kujiandaa wanamaanisha nini kuchukua rushwa au? Wanataka askari ashindwe kutenda ukweli na uaminifu kazini kwake kwa sababu tu anaambiwa "alishindwa kujiandaa"?

Kuna waliofanya kazi Serikalini kwa zaidi ya miaka 30 lakini wanakuja kupewa shilingi milioni 29! Kisha nyingine wanasema watatupa taratibu, badala ya kutulipa fedha zetu zote kwa pamoja baada ya kulitumikia taifa hili kwa miaka zaidi yote hiyo, wanatupa fedha hizo kidogo kidogo, wanakata na kukokotoa wanavyotaka wao!

Wanatupa labda laki tatu na nusu au laki mbili, tena kwa kusuasua kila mwezi. Hivi hizo pesa ndogondogo zinasaidia nini kwa mtu aliyestaafu ambaye bado ana watoto wanaosoma na wanahitaji ada na mahitaji mengine?

Mtu amepambana na kulitumikia taifa miaka 34 au zaidi, halafu leo anapewa shilingi milioni 29 kidogo kidogo kana kwamba wanatufanyia biashara na fedha zetu!

Hali hii inatufanya wastaafu wengi tuishi kwa shida na dhiki kubwa, na wengine wanajikuta wanakufa kwa mawazo na shinikizo la damu, au hata kujinyonga kwa sababu ya maisha magumu huku haki zao zikiwa zimeshikiliwa.

Tena ukitaka kujitokeza kuongea na kulalamika, unakabiliwa na vitisho na hofu ya kutekwa au kufanyiwa mambo mabaya! Ndio maana askari wengi wadogo wanaumia na kulia kimya kimya lakini viongozi wa juu hawajali kwa sababu wao wana mifuko mikubwa.

Wito wangu na ombi letu kubwa kwa serikali na uongozi wa Jeshi la Polisi na Jeshi la Magereza kote nchini (ikiwemo Mkoani Manyara na Tanzania nzima): Tulipeni stahiki zetu zote kwa mkupuo mmoja bila kutukata wala kutulipa kidogo kidogo!

Tulipeni pesa zetu zote tulizozifanyia kazi kwa jasho na uaminifu wetu ili tukazitumie kujikimu na kusomesha familia zetu.
Umekosea sehemu ya kuleta malamiko yako huku, haya malalamiko ilibidi uyspeleke makao makuu ya CCM pale dodoma
 
Tuliambiwa kazi yenu ni ya kizalendo,hakuna mshahara unaoweza kumlipa mtu ambaye anajitoa usiku na mchana kulinda raia na mali zao,bali huwa tunawapa tu posho ya kujikimu.Wengine wakiwa wamelala nyie mpo macho.Kweli kwa moyo huo hakuna anayeweza kuulipia,ila tu tunasema ahsante kwa moyo wenu wa uzalendo.
 
Huyu atakua tapeli, askari wanavyojituma kwa serikali tukufu ya CCM hawawezi kukosa chini ya million 200 na Mgambo labda ndio wanaweza kupata million 50 na ushee wakistaafu..
Nacheka kama mazuri ila inahuzunisha🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sisi askari wastaafu tunaeleza haya kwa uchungu mkubwa sana kero na dhuluma inayotupata wastaafu kutoka kwa viongozi wetu.

Hivi karibuni kuna Viongozi walisema kwamba sisi tunaolalamika kwamba tulishindwa "kujiandaa" kabla ya kustaafu!

Wanasema eti tulipostafu tulishindwa kujiandaa wakati tulipoingia uraiani. Hiyo kauli ina maana gani? Kujiandaa wanamaanisha nini kuchukua rushwa au? Wanataka askari ashindwe kutenda ukweli na uaminifu kazini kwake kwa sababu tu anaambiwa "alishindwa kujiandaa"?

Kuna waliofanya kazi Serikalini kwa zaidi ya miaka 30 lakini wanakuja kupewa shilingi milioni 29! Kisha nyingine wanasema watatupa taratibu, badala ya kutulipa fedha zetu zote kwa pamoja baada ya kulitumikia taifa hili kwa miaka zaidi yote hiyo, wanatupa fedha hizo kidogo kidogo, wanakata na kukokotoa wanavyotaka wao!

Wanatupa labda laki tatu na nusu au laki mbili, tena kwa kusuasua kila mwezi. Hivi hizo pesa ndogondogo zinasaidia nini kwa mtu aliyestaafu ambaye bado ana watoto wanaosoma na wanahitaji ada na mahitaji mengine?

Mtu amepambana na kulitumikia taifa miaka 34 au zaidi, halafu leo anapewa shilingi milioni 29 kidogo kidogo kana kwamba wanatufanyia biashara na fedha zetu!

Hali hii inatufanya wastaafu wengi tuishi kwa shida na dhiki kubwa, na wengine wanajikuta wanakufa kwa mawazo na shinikizo la damu, au hata kujinyonga kwa sababu ya maisha magumu huku haki zao zikiwa zimeshikiliwa.

Tena ukitaka kujitokeza kuongea na kulalamika, unakabiliwa na vitisho na hofu ya kutekwa au kufanyiwa mambo mabaya! Ndio maana askari wengi wadogo wanaumia na kulia kimya kimya lakini viongozi wa juu hawajali kwa sababu wao wana mifuko mikubwa.

Wito wangu na ombi letu kubwa kwa serikali na uongozi wa Jeshi la Polisi na Jeshi la Magereza kote nchini (ikiwemo Mkoani Manyara na Tanzania nzima): Tulipeni stahiki zetu zote kwa mkupuo mmoja bila kutukata wala kutulipa kidogo kidogo!

Tulipeni pesa zetu zote tulizozifanyia kazi kwa jasho na uaminifu wetu ili tukazitumie kujikimu na kusomesha familia zetu.
Kina Lyatonga Mremo ,Lipumba ,John Cheyo , Mtikila enzio hizo waliwapigania muache kuikumbatia SISIEMU mliwadharau na kuwapiga ,sasa vuneni mlichopanda.
 
Back
Top Bottom