HOJA Askari Polisi Wastaafu tulipwe stahiki zinazoendana na uhalisia, kiasi tunachopewa ni kidogo sana

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sisi askari wastaafu tunaeleza haya kwa uchungu mkubwa sana kero na dhuluma inayotupata wastaafu kutoka kwa viongozi wetu.

Hivi karibuni kuna Viongozi walisema kwamba sisi tunaolalamika kwamba tulishindwa "kujiandaa" kabla ya kustaafu!

Wanasema eti tulipostafu tulishindwa kujiandaa wakati tulipoingia uraiani. Hiyo kauli ina maana gani? Kujiandaa wanamaanisha nini kuchukua rushwa au? Wanataka askari ashindwe kutenda ukweli na uaminifu kazini kwake kwa sababu tu anaambiwa "alishindwa kujiandaa"?

Kuna waliofanya kazi Serikalini kwa zaidi ya miaka 30 lakini wanakuja kupewa shilingi milioni 29! Kisha nyingine wanasema watatupa taratibu, badala ya kutulipa fedha zetu zote kwa pamoja baada ya kulitumikia taifa hili kwa miaka zaidi yote hiyo, wanatupa fedha hizo kidogo kidogo, wanakata na kukokotoa wanavyotaka wao!

Wanatupa labda laki tatu na nusu au laki mbili, tena kwa kusuasua kila mwezi. Hivi hizo pesa ndogondogo zinasaidia nini kwa mtu aliyestaafu ambaye bado ana watoto wanaosoma na wanahitaji ada na mahitaji mengine?

Mtu amepambana na kulitumikia taifa miaka 34 au zaidi, halafu leo anapewa shilingi milioni 29 kidogo kidogo kana kwamba wanatufanyia biashara na fedha zetu!

Hali hii inatufanya wastaafu wengi tuishi kwa shida na dhiki kubwa, na wengine wanajikuta wanakufa kwa mawazo na shinikizo la damu, au hata kujinyonga kwa sababu ya maisha magumu huku haki zao zikiwa zimeshikiliwa.

Tena ukitaka kujitokeza kuongea na kulalamika, unakabiliwa na vitisho na hofu ya kutekwa au kufanyiwa mambo mabaya! Ndio maana askari wengi wadogo wanaumia na kulia kimya kimya lakini viongozi wa juu hawajali kwa sababu wao wana mifuko mikubwa.

Wito wangu na ombi letu kubwa kwa serikali na uongozi wa Jeshi la Polisi na Jeshi la Magereza kote nchini (ikiwemo Mkoani Manyara na Tanzania nzima): Tulipeni stahiki zetu zote kwa mkupuo mmoja bila kutukata wala kutulipa kidogo kidogo!

Tulipeni pesa zetu zote tulizozifanyia kazi kwa jasho na uaminifu wetu ili tukazitumie kujikimu na kusomesha familia zetu.
mfe tu wajinga sana nyie
 
Yani nyie siyo tuu mafao..ingewezekana hata pumzi msipewe..
 
Na nyie mnataka kupiganiwa na Gen Z??

Abdul anajenga Majumba DUBAI.
 
Ungemfikishia Paulo Chacha na yule mwenezi wa Chama bwana Kenani Kihongosi na Makamu Mwenyekiti Mzee Wasira maana wao wanasema nyinyi ni mali yao ndani ya Chama na mnafanya kazi kwa ajili ya Chama kubaki madarakani, sasa unatulalamikia sisi badala ufikishe kwenye ngazi za uongozi wa Chama mnachokifanyia kazi, umechukua hatua hio kabla?
Ni kawaida sana mtu anayekula muwa; akishafyonza yale maji/mchuzi mtamu, yale maganda yasiyo na mchuzi(Utamu) tena kwake, hutema na kutupa kule. (Mtumishi asiye na faida tena).Ingelikuwa ni vyema wakatambua uwepo wa wenzao wanaoililia Haki itendeke kama wao wanavyolia sasa badala ya kuwapiga risasi zilizonunuliwa kwa kodi zetu.
 
Tena inabidi mpewe 3000/= tu Kwa mwezi hiyo ndio halali yenu.Mikono yenu na maisha yenu vimejaa damu za watu na laana kibao halafu mnategemea maisha Bora baada ya kustaafu yatokee wapi tulieni mvune mlichopanda.
 
Sasa huyu kiherehere itakuwaje
 
Attachments

  • HSbtfpFXAAAqKQd.jpg
    HSbtfpFXAAAqKQd.jpg
    139.6 KB · Views: 9
Miaka 30 unapata m29? Hata darasa la saba sidhani kama anapaata hii......ukiingia na elimu ndogo unatakiwa ujibusti taratibu sasa ukilala tu kwenye malindo mbaka unazeeka ni tatizoo
 
Kuna watumishi wanapaswa kuonewa huruma hasa wa kada ya afya ila hawa police acha wateseke na utakuta kipindi cha uchaguzi wa 2000,2005,2010,2015 walikua wanauwa watu kwa kuwapiga,kuomba rushwa au kubambikia kesi
 
Hii mbona hata wale wafagizi na walinzi wa zamani wa halmashauri wanawazidi!

Au ndiyo kikokotoo kipya?
 
Tulia hivo hivo,teuzi bado zinaendelea, utateuliwa kuwa katibu wa chama kijijini kwenu.
 
Dj weka ya diamond yana mwisho, mwambie waiter alete bia 2 aweke na kasumu maaskari wastaafu tumechoka
 
Back
Top Bottom