Ukishakufa is over!Tukutane siku ya ufufuo kila mtu kupokea mshahara wake!
Hao wakachomwe moto wa gasi.Police hamuwapi pole wakuu?
Polisi wamefanya nini kwani?Police hamuwapi pole wakuu?
Subhanallah!š¤Hao wakachomwe moto wa gasi.
š¤£š¤£š¤£lengo la kukazia uzi tena boldAskari watano wamefariki papo
Umeguna au umeumia?
Mkuu,kuna mahabusu walio fariki pia.Safi Sanaa
Tutafakari jambo hapo.JF siyo AI ni watu halisi wenye kuwasilisha mawazo,hisia,maono na mapokeo yao.Think twice, buddy!Mkuu,kuna mahabusu walio fariki pia.
Mkuu,hii hali ya chuki ya raia dhidi ya askari inaenda kudumu sio chini ya miaka 10 kuanzia sasa.Tutafakari jambo hapo.JF siyo AI ni watu halisi wenye kuwasilisha mawazo,hisia,maono na mapokeo yao.Think twice, buddy!