Askari Polisi Watano, Mahabusu 8 wafariki kwa ajali ya gari Mlima Sekenke, Singida

Ni ajali ya roli la mafuta na gari ya Polisi , Polisi wote waliokuwa ndani ya gari yao wamekufa wote hapo hapo.

Dereva wa roli na tingo wake wameokolewa na Wananchi wametoka salama japo wamejeruhiwa.

Ajali imetokea eneo la Sekenke. Polisi hawatoi ushirikiano.. Kifo hakifichwi..

Hawataji majina ya waliofariki. Hawatoi details

Kwa ufupi ni kwamba Gari la Polisi limeua watu12 wakiwemo Askari na Mahabusu.

Tusuburi Mamlaka ziote taarifa

My TAKE
🤣🤣🤣🤣
 
Ndugu zangu Watanzania,

Taarifa ndio kama hivyo ambapo watanzania wenzetu wamepoteza Maisha katika ajali mbaya huko Mkoani Singida .

Ambapo Gari la mafuta lililo feri Breki liligonga gari lililokuwa limebeba mahabusu waliokuwa wanapelekwa Mahakamani.
 
Mungu awape pumziko la amani mahabusu na hao polisi wawe kuni za kuwachomea wauaji wenzao huko Jehannam.
 
Roho za mahabusu zifike mahali pema peponi. Hao wengine nawatakia jehanam njema. Wachomwe sana tu. Tena mahabusu ndio wawatumbukize motoni.
 
 

Attachments

  • 6401905-e0f95dc876f450dfdf804f97c038f730.mp4
    32.4 MB
Roho za mahabusu zifike mahali pema peponi. Hao wengine nawatakia jehanam njema. Wachomwe sana tu. Tena mahabusu ndio wawatumbukize motoni.
 

Attachments

  • 6401905-e0f95dc876f450dfdf804f97c038f730.mp4
    32.4 MB
Nawaombea mahabusu wote waliofariki wapate pumziko la milele. Usikute baadhi yao walikuwa na kesi za kubambikiwa.
 
Watoe Taarifa za mahabusu tu! Hilo kundi jingine, hatuna muda wa kuuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…