Nitaenda Misaa yaTatu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2025
- 403
- 812
Pale Kamsisi kama sijakosea ukiwa unatokea Tabora au Mpanda karibu na mzani Kuna Beria pale.
Jana tulisimamishwa akaingia askari uhamiaji mwenye asili ya kihutu completely yaani huulizi mara2
Etii kaanza kunihoji kuhusu vitambulisho nilimuambia Sina kitambulisho hata kimoja nimesahau nyumbani.
Nikamuuliza naruhusiwa kuuliza maswali akakubali. Nikamuuliza wewe asili Yako ni wapi?
Jibu akabwabwaja tu mara akaanza kuhoji wengine huyo akashuka.
Hii ikawa mada gari nzima Hadi tunafika Tabora wakisifu ujasiri wa Mimi kumhoji vilevile..
Tumefika kahama mida ya saa8 usiku njia nzima imejaa police wakaanza kutohoji mnaenda wapi mnatoka wapi usiku huu
Mmoja wetu akajibu sisi tunasafiri tumefika tinde tukafaulishwa kwenye hii gari ndogo.
Yule askari akauliza kwanini msafiri usiku huu?
Nikadakia hapohapo nikauliza kwani tangu lini kunakatazo la kusafiri usiku Tanzania?
Akaniamlu nishuke kwenye gari eti Nina kibuli. Tumepiga doria pamoja Hadi saa10:40.
Badae wakaniacha.