Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Elimu ya matumizi ya zebra na taa za kuongoza magari na waenda kea miguu bado haijawafika wananchi wengi hasa kwenye Manispaa mbalimbali, walau kwenye majiji watu wanaelewa. Ongezeni jitihada ya elimu hii live in majority siyo mnatumia vyombo vya habari tu.
Leo nimepita mahala taa ya kuzuia watu imewaka lakini mtembea kwa miguu anavuka, yani bila busara ya dereva wa basi tungeongea mengine. Na Watanzania wengi si tu hawajui matumizi ya zebra pia tuna uvivu wa kusoma.