Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Askari wa Burundi aelezea tofauti kati ya ushirikiano wa Burundi na Tanzania na ule wa Burundi na Rwanda.
Akielezea jambo hilo askari huyo kutoka Burundi amesema kwamba askari wa Tanzania wanashirikiana na askari wa Burundi kuwakamata majambazi wanaofanya uhalifu Burundi na kukimbilia Tanzania na hata wao hutoa ushirikiano kwa wahalifu wanapokimbilia Burundi, lakini inapotokea wahalifu wakakimbilia Rwanda serikali ya huko inawapokea na kuwapa hifadhi
View: https://www.youtube.com/watch?v=gJGXozdL_2s