Askari wa Burundi aelezea tofauti kati ya ushirikiano wa Burundi na Tanzania na ule wa Burundi na Rwanda

Askari wa Burundi aelezea tofauti kati ya ushirikiano wa Burundi na Tanzania na ule wa Burundi na Rwanda

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Askari wa Burundi aelezea tofauti kati ya ushirikiano wa Burundi na Tanzania na ule wa Burundi na Rwanda.

Akielezea jambo hilo askari huyo kutoka Burundi amesema kwamba askari wa Tanzania wanashirikiana na askari wa Burundi kuwakamata majambazi wanaofanya uhalifu Burundi na kukimbilia Tanzania na hata wao hutoa ushirikiano kwa wahalifu wanapokimbilia Burundi, lakini inapotokea wahalifu wakakimbilia Rwanda serikali ya huko inawapokea na kuwapa hifadhi

View: https://www.youtube.com/watch?v=gJGXozdL_2s
 
Kama unataka uzi wako ueleweke na watu wauchangie comment mbili tatu, basi ni bora ungeandika (japo hata kwa ufupi tu) kilichoelezwa na huyo askari wa Burundi kuhusu utofauti huo, kuliko kuweka video ambayo wengi wao hapa hawataiangalia kutokana na ufinyu wa data zao.

Huu ni ushauri wangu mzuri tu kwako mkuu.
 
Kama unataka uzi wako ueleweke na watu wauchangie comment mbili tatu, basi ni bora ungeandika (japo hata kwa ufupi tu)
Sawa Mkuu
Ni kwamba askari huyo kutoka Burundi amesema kwamba askari wa Tanzania wanashirikiana na askari wa Burundi kuwakamata majambazi wanaofanya uhalifu Burundi na kukimbilia Tanzania na hata wao hutoa ushirikiano kwa wahalifu wanapokimbilia Burundi, lakini inapotokea wahalifu wakakimbilia Rwanda serikali ya huko inawapokea na kuwapa hifadhi
 
Inawapa hifadhi ili waibe!
 
Back
Top Bottom