Sawa Mkuu
Ni kwamba askari huyo kutoka Burundi amesema kwamba askari wa Tanzania wanashirikiana na askari wa Burundi kuwakamata majambazi wanaofanya uhalifu Burundi na kukimbilia Tanzania na hata wao hutoa ushirikiano kwa wahalifu wanapokimbilia Burundi, lakini inapotokea wahalifu wakakimbilia Rwanda serikali ya huko inawapokea na kuwapa hifadhi