Askari wa Israel usiku huu wanaingia Gaza city na vifaru vyao

Askari wa Israel usiku huu wanaingia Gaza city na vifaru vyao

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
IDF inafanya mashambulizi makubwa na makubwa zaidi huko Gaza kwa saa chache zilizopita.

Vishindo vya makombola hayo yanasikika mpaka Israel kwa kweli Sasa hivi Gaza wanakipata kipondo cha kufa mtu




 
Al-Jazeera wanarusha live
Aisee sijui itakuaje maana wenyewe IDF wamesema operation Yao itaishia mwezi December
Nawaonea huruma watoto na wamama wa hapo Gaza
 
kama binadamu ni swala fikirishi sana .kwamba wakazi wa gaza ni half human au hawana hadhi ya ubinadamu ukiondoa tofauti ya iman, itikadi kama upo timamu huwez hata ukaona kuwa kuna namna hapa kuna watoto ambao hata kuinua risasi hawawezi lakin kwa roho mbaya unawajumuisha katika mkenge sawa na wazazi wao
 
IDF inafanya mashambulizi makubwa na makubwa zaidi huko Gaza kwa saa chache zilizopita.

Vishindo vya makombola hayo yanasikika mpaka Israel kwa kweli Sasa hivi Gaza wanakipata kipondo cha kufa mtu

once my brother quoted some one " when u see a man fall don't laugh then he insist don't laugh then he say learn learn learn because no one is free from temptetions that ca
 
kama binadamu ni swala fikirishi sana .kwamba wakazi wa gaza ni half human au hawana hadhi ya ubinadamu ukiondoa tofauti ya iman, itikadi kama upo timamu huwez hata ukaona kuwa kuna namna hapa kuna watoto ambao hata kuinua risasi hawawezi lakin kwa roho mbaya unawajumuisha katika mkenge sawa na wazazi wao
Toka lini waarabu wakawa na Ubinadamu? Wao wao tu wanafanyiana UNYAMA wa Kiwango cha juu sembuse kwa watu wengine?

Kwa UNYAMA walioufanya Oct 07,2023 hao hawawezi kupewa hadhi ya Ubinadamu maana hawastahiri maana hao ni wanyama kabisa kasoro mkia tu angalia video/picha walivyowaua wa Tanzania we zetu na wanavyowafanyia Mateka wa kiyahudi kuwateka na wanavyofanyiana wao kwa wao huwezi kuamini kuwa hao nao ni Binadamu isipokuwa labda na wewe uwe Mwarabu-koko!!
 

Attachments

  • BREAKING_In_Gaza,_a_Palestinian_boy_with_special_needs_was_tied.mp4
    6.8 MB
  • telegram_video.mp4
    5.1 MB
  • video_2025-07-25_18-01-55.mp4
    6.3 MB
  • video_2025-07-25_18-00-00.mp4
    6.9 MB
  • video_2025-07-25_18-01-12.mp4
    4.3 MB
Back
Top Bottom