Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Vituko katika vita baina ya Israel na wapalestina daima havimaliziki ambapo maajabu mengi yameripotiiwa.
Muuza duka mmoja kwenye kijiji cha Dura karibu na Hebrona anasimulia kuwa askari wa Israel waliingia mjini humo na kuua watu wawili na walipotaka kutoka wakamvamia yeye kwenye duka lake la kuuza simu na kumshika mateka wakimfanya kinga ili kujiokoa na mvua ya mawe waliyohofia kurushiwa na wapalestina.
Katika mkasa huo Baha Abu Ras anasema askari mmoja alimwambia watamtumia kujikinga na mawe ya wenzake na huku akiwa amemuwekea bunduki bejgani kwake na wenzake wawili wakifuata nyuma yetu.