Kwako ni baseless kwa kuwa hautaki. Kama ningekuwa baseless kamwe usingekuwa unafuatilia comments zangu zote kama unavyodai.
Mimi leo ndiyo kwa mara ya kwanza nimekusoma, tafsiri yake ni nini?
Kwako wewe kwa nilivyokusoma tu hapa silazimiki kuelezea wala kwenda in details tena kwa kitu ambacho details zake nyingi nimeshaziweka humu. Unaposema ninaleta baselass claims, wakati kiuhalisia unaonekana ni mvivu kusoma, na umaongozwa na mahaba sasa unatarajia uje kukubaliana na kitu usichokitaka?
Nimejikuta macheka tu ulipo ni quote pale mwanza ukielezea vitu ambavyo yaani wewe ukaona nfiyo facts, sasa kama maelezo yako ndiyo yale unataraji mimi nichangie nini? Maana huna sentence ya ku argue na mimi wala kichwa cha kuelewa nitakachokujibu.
Kwa faida yako fuatilia michango yangu humu ukiwa open minded utajifunza, ila ukija na akili hizo zilizofunikwa, basi tutarajie uendelee kutukana sana tu.