Askari wa Israel wajificha nyuma ya mpalestina kuogopa kushambuliwa. Wamuomba awaokoe dhidi ya hasira za wenzake

Askari wa Israel wajificha nyuma ya mpalestina kuogopa kushambuliwa. Wamuomba awaokoe dhidi ya hasira za wenzake

Unasema kuwa Israel huwa wanalipiza hawaanzwi.
Sheriin Abu Akleh ni mwandishi wa habari tena mkristo amepigwa risasi na Sniper wa IDF deliberately kwa makusudi akiwa anaripoti uvamizi wa IDF Jenin refugee camp WEST BANK.
Basi Sawa tuseme Gaza wakorofi haya kambi ya wakimbizi Jenin Occupied west bank ina tishio gani kwa Israel??
NILETEE USHAHIDI WA PALESTINA KUWACHOKOZA ISRAEL 2022 MPAKA IDF WAKAVAMIA JENIN REFUGEE CAMP.
nasubiri jibu
Kuendelea kukujibu ni kupoteza muda. Kuna vitu vidogo sana wala hivihitaji akili ya ziada kuviona, nashangaa unashindwa kuviona. Nimesoma hizo replies zako zote na hivyo ulivyo attach kama nase za claims zako.
Kabla sijahoji chochote kuhusu hiyo habari.
Jikumbushe nilichokiondika. Mimi maongelea wafungwa, wewe unaleta hanari za Mahabusu?
Makosa hayo ya kutoona hoja ma logic umeendelea kuyafanya kwenye attachments nyimgine xote ulizoleta zikutetee.
Mgoja nikutakie uwe na wakati mwema tu.
 
Nawe pia uwe na wakati mwema.
Ila tambua kama mahabusu anateswa mfungwa akishahukumiwa anapitia nini?
Prisoner society imeripoti wafungwa zaidi ya 30 wameuawa kulingana na mateso jela walizofungwa.
Huna unachoweza kujibu maana nishakuletea ushahidi wa kila kitu.
Pia kuhusu kukurebisha kama wayahudi hawaanzwi huo hapo juu.Wanavunja nyumba kufanya expansion ushahidi nimekuletea.
Nimekuletea na ushahidi wa watoto kila mwaka kukamatwa pasi na sababu za msingi ikiwemo watoto umri miaka 12.

NIMEMALIZA MJADALA NA WEWE.
 
Back
Top Bottom