Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
zipo chini sana, nitakutafutia, na nitakuwekea hapa uone. kwenye page za IDF, MOSAD na ISRAEL. kuna makamanda kibao wamekuwa eliminated.Nimeingia Hio page nimeperuzi tweet kama 20 sijaona stat yoyote ya vita zaidi ya propaganda tu, weka namba ama specific tweet inayoelezea, si kila mtu yupo free kama wewe aperuzi maelfu ya tweet kutafuta tweet moja.