Malengo bado, Netanyau amesema anataka kuwafuta kabisa na kurudisha mateka.Gharama ya vita vya Gaza inazidi faida ya malengo Israel iliyojiwekea.
Wapiganaji wa Hamas jana waliwazingira askari wa miguu walioingia maeneo yao na kuwaua zaidi ya 100 kwa mpigo.
View attachment 2839765
BABU yule anaishi 5-star hotel pale Qutar.Vita Ni kibabu kizee kinachotuma vijana kuuwana na kukatana viungo na kupeana vilema mwisho kuwavalisha Medali ya uzalendo.
Kazi imehamia underground tunnels, bado kuchimbua chimbua.kaziaijaisha mkuu gaza inasafishwa utaipenda
picha uliyoambatanisha umenikumbusha kampen za urais 2020 kulikuwa hakuna AI lakini picha za mafuriko zilikuwa realistic sanaGharama ya vita vya Gaza inazidi faida ya malengo Israel iliyojiwekea.
Wapiganaji wa Hamas jana waliwazingira askari wa miguu walioingia maeneo yao na kuwaua zaidi ya 100 kwa mpigo.
View attachment 2839765
Mkuu hii inaumiza sanasana na huenda walikuwa tegemezi kwenye familia zao aiseKila nikifikiria namna ambavyo binadamu anaumbwa kuanzia kutunga mimba mpaka kuzaliwa,wazaz wanakuwa hawalali usiku kumlea mpaka anakuwa mkubwa afu anakuja kufa kirahis hiv
Wewe yahudi mweusi wa Tabora acha kujifariji kipumbavu,Dunia iko open sana.Propaganda
Leta ukweli wake,
Mkuu hiyo picha umeiangalia vzuri?picha uliyoambatanisha umenikumbusha kampen za urais 2020 kulikuwa hakuna AI lakini picha za mafuriko zilikuwa realistic sana
hizo ni picha za kutengeneza. though ni kweli kila siku wanapoteza wawili au watatu, na wanawatangaza. ila hamas uko wanapukutika hadi wengine wamejisalimisha ili wakachinjwe polepole. maisha matamu aisee, jamaa wanajifanyaga wabaabe na wakifa wanaenda kupewa ile zawadi ya 72 bikra, ila kuusogelea mlango wa kifo wanaogopa hadi wamesalenda na kupakiwa kwenye roli kama kuku wa kisasa. na wamepelewa machinjoni.Gharama ya vita vya Gaza inazidi faida ya malengo Israel iliyojiwekea.
Wapiganaji wa Hamas jana waliwazingira askari wa miguu walioingia maeneo yao na kuwaua zaidi ya 100 kwa mpigo.
View attachment 2839765
Nimeshindwa kuelewa picha rahisi hivi watu wameshindwa kuelewahizo ni picha za kutengeneza. though ni kweli kila siku wanapoteza wawili au watatu, na wanawatangaza. ila hamas uko wanapukutika hadi wengine wamejisalimisha ili wakachinjwe polepole. maisha matamu aisee, jamaa wanajifanyaga wabaabe na wakifa wanaenda kupewa ile zawadi ya 72 bikra, ila kuusogelea mlango wa kifo wanaogopa hadi wamesalenda na kupakiwa kwenye roli kama kuku wa kisasa. na wamepelewa machinjoni.
Hiyo picha ingekua ni Hamas ungesema ni yakutengeneza? Au umeamua tu kutingisha kalio hapa? Hao wayahudi si ndio walimuua Mungu wenu kwa mujibu wenu?hizo ni picha za kutengeneza. though ni kweli kila siku wanapoteza wawili au watatu, na wanawatangaza. ila hamas uko wanapukutika hadi wengine wamejisalimisha ili wakachinjwe polepole. maisha matamu aisee, jamaa wanajifanyaga wabaabe na wakifa wanaenda kupewa ile zawadi ya 72 bikra, ila kuusogelea mlango wa kifo wanaogopa hadi wamesalenda na kupakiwa kwenye roli kama kuku wa kisasa. na wamepelewa machinjoni.
Nimeshindwa kuelewa picha rahisi hivi watu wameshindwa kuelewa