Askari wa Israel wazidi kuangamia Gaza. Zaidi ya 100 wauliwa siku moja na kuzikwa kaburi moja

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Gharama ya vita vya Gaza inazidi faida ya malengo Israel iliyojiwekea.

Wapiganaji wa Hamas jana waliwazingira askari wa miguu walioingia maeneo yao na kuwaua zaidi ya 100 kwa mpigo.

Vita walivyokuwa wakivisubiri Hamas sasa ndio vimeanza

1702314322284.png
 
Gharama ya vita vya Gaza inazidi faida ya malengo Israel iliyojiwekea.
Wapiganaji wa Hamas jana waliwazingira askari wa miguu walioingia maeneo yao na kuwaua zaidi ya 100 kwa mpigo.
View attachment 2839765
Malengo bado, Netanyau amesema anataka kuwafuta kabisa na kurudisha mateka.

Awali ilikuwa kulipiza kisasi, alipo onyeshwa yale mauaji ya 7/10 kwafi** wanajeshi wa IDF, alisema anawafuta sasa bado kabisa.
So far Israel imeua magaidi ya HAMAS 15,000 [elfu kumi na tano tu], hapo bado kabisa, nina uhakika wakifika walau watu elfu 30 ndio Israel atapozi kidogo.
 
Gharama ya vita vya Gaza inazidi faida ya malengo Israel iliyojiwekea.

Wapiganaji wa Hamas jana waliwazingira askari wa miguu walioingia maeneo yao na kuwaua zaidi ya 100 kwa mpigo.

View attachment 2839765
picha uliyoambatanisha umenikumbusha kampen za urais 2020 kulikuwa hakuna AI lakini picha za mafuriko zilikuwa realistic sana
 
Gharama ya vita vya Gaza inazidi faida ya malengo Israel iliyojiwekea.

Wapiganaji wa Hamas jana waliwazingira askari wa miguu walioingia maeneo yao na kuwaua zaidi ya 100 kwa mpigo.

View attachment 2839765
hizo ni picha za kutengeneza. though ni kweli kila siku wanapoteza wawili au watatu, na wanawatangaza. ila hamas uko wanapukutika hadi wengine wamejisalimisha ili wakachinjwe polepole. maisha matamu aisee, jamaa wanajifanyaga wabaabe na wakifa wanaenda kupewa ile zawadi ya 72 bikra, ila kuusogelea mlango wa kifo wanaogopa hadi wamesalenda na kupakiwa kwenye roli kama kuku wa kisasa. na wamepelewa machinjoni.
 
Nimeshindwa kuelewa picha rahisi hivi watu wameshindwa kuelewa
 
hizo ni picha za kutengeneza. though ni kweli kila siku wanapoteza wawili au watatu, na wanawatangaza. ila hamas uko wanapukutika hadi wengine wamejisalimisha ili wakachinjwe polepole. maisha matamu aisee, jamaa wanajifanyaga wabaabe na wakifa wanaenda kupewa ile zawadi ya 72 bikra, ila kuusogelea mlango wa kifo wanaogopa hadi wamesalenda na kupakiwa kwenye roli kama kuku wa kisasa. na wamepelewa machinjoni.
Hiyo picha ingekua ni Hamas ungesema ni yakutengeneza? Au umeamua tu kutingisha kalio hapa? Hao wayahudi si ndio walimuua Mungu wenu kwa mujibu wenu?
 
jamaa anataka kumanisha hamas ndio hao waliosimama na bunduki. hakuna hata hamas mmoja anayetokea sehemu ya wazi, kila sehemu kuna wanajeshi wa israel. hamas wamejificha kwenye mahandaki,wanatoka tu ghafla na kupora chakula cha msaada na kuingia nacho kwenye mashimo.
 
Back
Top Bottom