Askari wa Israel wazidi kuangamia Gaza. Zaidi ya 100 wauliwa siku moja na kuzikwa kaburi moja

Afunukwe vipi.Hii ni mpya sijawahi kuisikia.
Anafunikwa na shuka Huwa haachwi wazi

Aliteyetengeneza hiyo picha kasahau Mila za wayahudi ndio maana hiyo picha ni wazi ya kutengenezwa
 
umesahau kuwa hivyo ni vita kati ya Hamas na mayahudi.Hamas hana muda na kufunika maiti ya myahudi aliowaua vitani.
 
Ukraine unailinganisha na Hamas? kweli huna akili.
Hamas walijilimbikizia silaha kwa miaka jumlisha na mahandaki waliyochimba miaka na miaka, kwanini wasifananishwe?,Hamas wenye magunzo makali ya kijeshi kwanini wasifananishwe?
 
Hao askari 100 waliofariki ni tangu ground offensive ianze wewe mvaa vipedo,msuli na makobazi kulingana na Media yenu ya ayotollars aljazeera Alwaz
 
Wewe Kafiri,hao waume zako wameshakufa zaidi ya elfu 3

Pole kwa kuachwa mjane Mama.
 
Attachments

  • Screenshot_20231208-110331_Gallery.jpg
    Screenshot_20231208-110331_Gallery.jpg
    86.3 KB · Views: 1
Wale waliokua wakienda kukabidhi mateka kwa uhuru na amani kubwa ni kina nani, hadi mateka wanakabidhiwa wakaungane na familia zao wanatamani warudi walikotekwa maana walikofichwa usalama ulikua ni mkubwa kuliko wanakoenda maana bila kutekwa pengine wangeshakufa kwa vita inayoendekea..
waliwatisha mzee, kuna picha zipo wameonekana wnaawatisha kabisa, wanawaambia tunawapeleka pale, tukifika pale hakikisheni mnapunga mkono na mnatusalimia, ama la tunawarudisha huku. haiji akilini kwa Myahudi aliyetekwa toka nyumbani ati amfurahie mtu aliyemteka bila kosa na kumwona mtu mzuri. na wameshapiga mkwara mkisimulia in public ya huku tunawauwa hawa wenzenu na ninyi tutawatafuta popote mlipo. wao ni raia wanaogopa. hivi wewe mtu aliyekuteka, akauwa ndugu zako machoni pako, unaweza kumfurahia hata kwa namna yeyote? kuwa tu na akili ya kawaida basi.
 
Hamas walijilimbikizia silaha kwa miaka jumlisha na mahandaki waliyochimba miaka na miaka, kwanini wasifananishwe?,Hamas wenye magunzo makali ya kijeshi kwanini wasifananishwe?
Ww ndo ndina kabisa ww tangu vita ianze umeshaona Hamas inatumia silaha gani za maana ukilinganisha na za Ukraine?
Hao hamas wangekuwa hata na robo ya silaha alizo nazo Ukraine siwangekuwa wamesha iteka Telaviv na akina Netanyau siwangekuwa wamesha ikimbilia Marekani.
 
Hao askari 100 waliofariki ni tangu ground offensive ianze wewe mvaa vipedo,msuli na makobazi kulingana na Media yenu ya ayotollars aljazeera Alwaz
Kwann wafe wakati ni wateule wa mungu?
 
Wewe Kafiri,hao waume zako wameshakufa zaidi ya elfu 3

Pole kwa kuachwa mjane Mama.

You seem uneducated, stupid, foolish, lowest IQ, hopeless, low life individual with no ideas and poorest arguments in totality, you are such a shit shithole. Maneno machafu tupu like ulivyo mchafu kunuka, nyoko kabisa.
 
Ww ndo ndina kabisa ww tangu vita ianze umeshaona Hamas inatumia silaha gani za maana ukilinganisha na za Ukraine?
Hao hamas wangekuwa hata na robo ya silaha alizo nazo Ukraine siwangekuwa wamesha iteka Telaviv na akina Netanyau siwangekuwa wamesha ikimbilia Marekani.
Hata waarabu wote waungane hawawezi kuiangusha Israel pale mashariki ya kati,wawaulize mataifa matano yalivyochakazwa vibaya 1967.
 
You seem uneducated, stupid, foolish, lowest IQ, hopeless, low life individual with no ideas and poorest arguments in totality, you are such a shit shithole. Maneno machafu tupu like ulivyo mchafu kunuka, nyoko kabisa.
Binti naona imekuchoma kama pasi na hiyo ndio faraja yangu,kingereza chenyewe cha ugoko,fikra za kitumwa hizo.
 
Wewe Kafiri,hao waume zako wameshakufa zaidi ya elfu 3

Pole kwa kuachwa mjane Mama.
muumini wa dini ya mnyamungu matusi ya nini?weka reliable source hapa ya hii habari vingine ni uzushi.Au labda wanachotangaza Aljaazera huelewi sababu ni kiingereza!
 
Muumini wa masanamu nipo na mkeo hapa ananitafsiria hicho kingereza.
 
Wagaza karibu milioni 2 wakusanywa eneo ya square meter 6 Hamas wako wapi kusaidia watu wao?
Miezi miwili unapigana na Hamas kwa kusaidiwa na US mbona hujawaokoa mateka wako? Hao wayahudi waliomuua Mungu wako ndio unawashobokea? Au unawashobokea coz wanaukubali ushoga kama wewe?
 
Back
Top Bottom