Askari wa Israel wazidi kuangamia Gaza. Zaidi ya 100 wauliwa siku moja na kuzikwa kaburi moja

Askari wa Israel wazidi kuangamia Gaza. Zaidi ya 100 wauliwa siku moja na kuzikwa kaburi moja

Thibitisha kwanza kama mungu yupo?
sihitaji degree kutambua picha hio ni fake kuanzia blood splashing, contact ya wanajeshi waliosimama, watu waliokufa inaonyesha.

Halafu Thibitisha mungu yupo?
Thibitisha kuwa hayupo(kwamba universe na viumbe vyake vyote no ajali na si by design)
 
hizo ni picha za kutengeneza. though ni kweli kila siku wanapoteza wawili au watatu, na wanawatangaza. ila hamas uko wanapukutika hadi wengine wamejisalimisha ili wakachinjwe polepole. maisha matamu aisee, jamaa wanajifanyaga wabaabe na wakifa wanaenda kupewa ile zawadi ya 72 bikra, ila kuusogelea mlango wa kifo wanaogopa hadi wamesalenda na kupakiwa kwenye roli kama kuku wa kisasa. na wamepelewa machinjoni.
Hakuna dalili ya kutengenezwa.Ile ya kufisalimisha nimeona mashirika ya habari ya nje wakiitilia shaka na kuzusha maswali mengi.
Kumbuka Israel imepeleka askari zaidi ya 300,000 kuwatafuta mateka 240.Sas kundi hilo linajiingiza kwenye mitaa wasiyoifahama na Hamas wamejificha na silaha zao.Huoni kuwa Israel haina huo utaalamu wa kukwepa kupigwa ndani ya hiyo mitaa au kujitoma kwenye mtaa usiokuwa na pa kutokea hatimae kuzingirwa na kupigwa kirahisi sana.
Hata Hamas wakiwateka hawana muda wa kubaki na mateka na gharama za kuwalisha na kukimbia nao huku na huko.Ni kuwaua tu na kuwafukia
Wakati huo huo hawana muda wa kuuliza AI iwachoree picha kama hiyo.
Mwisho wa yote tutasema Hamas kwa Israel imekuwa mwiba wa mtende.
 
jamaa anataka kumanisha hamas ndio hao waliosimama na bunduki. hakuna hata hamas mmoja anayetokea sehemu ya wazi, kila sehemu kuna wanajeshi wa israel. hamas wamejificha kwenye mahandaki,wanatoka tu ghafla na kupora chakula cha msaada na kuingia nacho kwenye mashimo.
Unasikiliza propanda za Israel kuwa wameiteka Gaza.Hayo makombora yaliyopiga Ben Gurion airport juzi yametoka huko huko Gaza ya kaskazini ambako kuna mitaa mingi IDF wameamua wasiende kwanza.
 
Malengo bado, Netanyau amesema anataka kuwafuta kabisa na kurudisha mateka.

Awali ilikuwa kulipiza kisasi, alipo onyeshwa yale mauaji ya 7/10 kwafi** wanajeshi wa IDF, alisema anawafuta sasa bado kabisa.
So far Israel imeua magaidi ya HAMAS 15,000 [elfu kumi na tano tu], hapo bado kabisa, nina uhakika wakifika walau watu elfu 30 ndio Israel atapozi kidogo.
Wewe mfuasi wa chadema unakumbuka mbowe alivyolazwa na wauaji Mahabusu?
 
Jipe muda kidogo kaa mbali na simu au kifaa chochote kinachokuwezesha kupata hizi habari. Jipe hata wiki moja kaa sehemu utulie na uswali sana uenda Allah akakusikiliza na kukupa ufahamu mpya.

Itakusaidia kwa ajili ya afya yako na ya familia yako. Aya unayopost humu kila siku nafikiri si mazuri kwa afya yako ya akili na kimwili pia.
Asante
mimi nakula na kushiba,nalala na kuamka,Namshukuru Allah kwa wingi.Mimi nawafikiria zaidi kazi wanayoifanya Hamas.
Muda mwingi nautumia kukumbuka uwezo wa Mwenyezi Mungu kuwapa nguvu na subira watu wanaokuwa katika mazingira magumu wakipigania haki zao.
 
Wenzako wanakufa kwa maelfu wewe upo nyuma ya keyboard unapiga propaganda ambazo hazitasaidia chochote.Mpaka sasa magaidi zaidi ya 7000 yamewahishwa jehanamu upesi,palestina lazima iwe huru kutoka mikono ya magaidi ili raia wema waishi kwa amani.
😄 🤣 😂

Netanyahu anapigwa na viatu Israel yeye na mkewe na mawaziri zake wako ndani, unakumbuka mwanzo wa vita kila saa anawaita wandishi wa habari na anaongea kama vile yeye ndiye Superpower hakuna wakumchezea leo yuko ndani akitoka anarushiwa viatu Hamasi wamemdhalilisha sana😄
 
😄 🤣 😂

Netanyahu anapigwa na viatu Israel yeye na mkewe na mawaziri zake wako ndani, unakumbuka mwanzo wa vita kila saa anawaita wandishi wa habari na anaongea kama vile yeye ndiye Superpower hakuna wakumchezea leo yuko ndani akitoka anarushiwa viatu Hamasi wamemdhalilisha sana😄
Kwenye vita usitegemee urahisi,urusi anataabika na Ukraine mwaka wa pili huu nani alitegemea?.
 
😄 🤣 😂

Netanyahu anapigwa na viatu Israel yeye na mkewe na mawaziri zake wako ndani, unakumbuka mwanzo wa vita kila saa anawaita wandishi wa habari na anaongea kama vile yeye ndiye Superpower hakuna wakumchezea leo yuko ndani akitoka anarushiwa viatu Hamasi wamemdhalilisha sana😄
Unaandika kutokea wapi uncle?
Sasa kama anataabika mbona Magaidi ya kislamu yanasema asitishe vita, si ana aibika mumweche mpaka ashindwe kabisa?
 
Wewe unayesema hakuna designer na creator,unatakiwa kuthibitsha hilo
Ameleta stori za mungu, nikasema hayupo,
Tupo mahakamani unaniambia mimi ni mwizi, mimi nakataa sio mwizi ithibitishie mahakama mimi ni mwizi.
Halafu unaanza kusema wewe embu thibitisha ni mwizi!

Hiyo ni kazi yako!
Thibitisha mungu yupo kama alivyosema mungu wangu.

Acha maneno ukitaka msaidie.
 
Back
Top Bottom