Pre GE2025 Askari wa Jeshi la Polisi athibitisha jinsi wanavyosaidia kuiba kura ili CCM ibaki madarakani, ni aibu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu polisi namfahamu toka seminari ya st james huko moshi! CCM can transform persons to devils for sure Is this Engelbert Isdori Kiondo?
 
Wakayafukue Makaburi halafu wayatumbue.
 
Naona there is more to come
 
Kuna mda utafika, haya nayo yatapita.
 
Ndo kufitinika kwa ufalme huko..

Watageukiana na kuanza kurushiana ngumi na kuuana wao kwa wao muda si mrefu...
 
Namna pekee ya polisi kuacha kuisaidia serekali iliyopo madarakani ni kwanza Rais asiwe Amir jesh mkuu pili wakuu wa mikoa na wilaya wasiwe wenyeviti wa kamati ya ulinzi na usalama za mikoa na wilaya.
Vinginevyo hamna njia nyingine



..kwenye nchi za wenzetu Rais ni Amiri Jeshi Mkuu lakini vyombo havimsaidii kuvuruga au kuiba uchaguzi.
 
Hawa ndiyo policcm halisi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…