Pre GE2025 Askari wa Jeshi la Polisi athibitisha jinsi wanavyosaidia kuiba kura ili CCM ibaki madarakani, ni aibu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Haya yanayotokea sasa hivi ni Kwa bahati mbaya, mazoea au ni planned? Polisi mwenye cheo kikubwa kama huyu anawezaje kutamka maneno mazito kama haya? Huku akifanya demonstration?

Pia soma:
~
Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
~ DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
~
Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

Je, tuamini Yale magari ya kisasa kwa ajili ya Polisi ambayo yataingia nchini hivi karibuni ni hongo kwa Jeshi la Polisi kutoka Serikali ya CCM?

Unawezaje kusema "Mama ni Rais wa nchi hii si kwa SABABU mlipiga kura na sisi (Jeshi la Polisi) tumo"!

Hii ni kauli ya kijinga na kifedhuli Sana, kwa MTU yoyote yule anayejielewa hawezi kushabikia hili
Huyu polisi namfahamu toka seminari ya st james huko moshi! CCM can transform persons to devils for sure Is this Engelbert Isdori Kiondo?
 
Wakayafukue Makaburi halafu wayatumbue.
 
Ndo kufitinika kwa ufalme huko..

Watageukiana na kuanza kurushiana ngumi na kuuana wao kwa wao muda si mrefu...
 
Namna pekee ya polisi kuacha kuisaidia serekali iliyopo madarakani ni kwanza Rais asiwe Amir jesh mkuu pili wakuu wa mikoa na wilaya wasiwe wenyeviti wa kamati ya ulinzi na usalama za mikoa na wilaya.
Vinginevyo hamna njia nyingine

..kwenye nchi za wenzetu Rais ni Amiri Jeshi Mkuu lakini vyombo havimsaidii kuvuruga au kuiba uchaguzi.
 
Haya yanayotokea sasa hivi ni Kwa bahati mbaya, mazoea au ni planned? Polisi mwenye cheo kikubwa kama huyu anawezaje kutamka maneno mazito kama haya? Huku akifanya demonstration?

Pia soma:
~
Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
~ DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
~
Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

Je, tuamini Yale magari ya kisasa kwa ajili ya Polisi ambayo yataingia nchini hivi karibuni ni hongo kwa Jeshi la Polisi kutoka Serikali ya CCM?

Unawezaje kusema "Mama ni Rais wa nchi hii si kwa SABABU mlipiga kura na sisi (Jeshi la Polisi) tumo"!

Hii ni kauli ya kijinga na kifedhuli Sana, kwa MTU yoyote yule anayejielewa hawezi kushabikia hili
Hawa ndiyo policcm halisi sasa.
 
Back
Top Bottom