Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ikoje?Haiko hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikoje?Haiko hivyo.
Unaelewa maana ya armed forces? Nenda google uone maana yake.ongezea kwamba ni Commander in Chief of the armed forces !
Huyu polisi namfahamu toka seminari ya st james huko moshi! CCM can transform persons to devils for sure Is this Engelbert Isdori Kiondo?Haya yanayotokea sasa hivi ni Kwa bahati mbaya, mazoea au ni planned? Polisi mwenye cheo kikubwa kama huyu anawezaje kutamka maneno mazito kama haya? Huku akifanya demonstration?
Pia soma:
~ Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
~ DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
~ Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
Je, tuamini Yale magari ya kisasa kwa ajili ya Polisi ambayo yataingia nchini hivi karibuni ni hongo kwa Jeshi la Polisi kutoka Serikali ya CCM?
Unawezaje kusema "Mama ni Rais wa nchi hii si kwa SABABU mlipiga kura na sisi (Jeshi la Polisi) tumo"!
Hii ni kauli ya kijinga na kifedhuli Sana, kwa MTU yoyote yule anayejielewa hawezi kushabikia hili
Nataka machawa mfe njaaUnataka tuwe na Ayattolah?
Ndio yeye huyo! Ameshalewa madarakaHuyu polisi namfahamu toka seminari ya st james huko moshi! CCM can transform persons to devils for sure Is this Engelbert Isdori Kiondo?
Using or carrying weapons!Unaelewa maana ya armed forces? Nenda google uone maana yake.
Ongezea na ile ya Mchengerwa~ Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
~ DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
~ Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
Zamani ndio wakati gani!!?Alishasaafu huyu Kamanda,ni clip ya zamani
Kusema ukweli tafsiri yake ni kulewa madaraka?Ndio yeye huyo! Ameshalewa madaraka
Namna pekee ya polisi kuacha kuisaidia serekali iliyopo madarakani ni kwanza Rais asiwe Amir jesh mkuu pili wakuu wa mikoa na wilaya wasiwe wenyeviti wa kamati ya ulinzi na usalama za mikoa na wilaya.
Vinginevyo hamna njia nyingine
Hawa ndiyo policcm halisi sasa.Haya yanayotokea sasa hivi ni Kwa bahati mbaya, mazoea au ni planned? Polisi mwenye cheo kikubwa kama huyu anawezaje kutamka maneno mazito kama haya? Huku akifanya demonstration?
Pia soma:
~ Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
~ DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
~ Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
Je, tuamini Yale magari ya kisasa kwa ajili ya Polisi ambayo yataingia nchini hivi karibuni ni hongo kwa Jeshi la Polisi kutoka Serikali ya CCM?
Unawezaje kusema "Mama ni Rais wa nchi hii si kwa SABABU mlipiga kura na sisi (Jeshi la Polisi) tumo"!
Hii ni kauli ya kijinga na kifedhuli Sana, kwa MTU yoyote yule anayejielewa hawezi kushabikia hili
Kuna watu wakila wakishiba wanajisahau sana ila aya twende tu.View attachment 3084816
Na huyu kada wa CCM Msikilize anavyosema USHINDI WA CCM NI LAZIMA. Mama Abdul Amfukuze Ukada wa CCM huyu anamkufuru Mungu.
Yupo sahihi ni ya siku nyingi kidogo baada ya mzee kuondoka na mkuu wa sasa kushika dola ulipita muda kidogo ndiyo hiyo kitu kutokea.Ya siku nyingi kivipi? Kwani mama alishawahi kufanya uchaguzi zaidi ya huu unaokuja?