Pre GE2025 Askari wa Jeshi la Polisi athibitisha jinsi wanavyosaidia kuiba kura ili CCM ibaki madarakani, ni aibu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mungu anawaumbua.. wanajikuta wamesema bila kujielewa..

Mungu yupo aisee.
 
Zamani sikujuaga kama wa Tanzania ni takataka hivi. Hata kuku wanatushinda kwa IQ
 
Huenda Mungu ameamua kuyaweka bayana tusiyoyajua lakini Yeye kesha yaona kabla hatujazaliwa.
 
Amiri Jeshi ni CinC, wa majeshi yote, kuanzia JWTZ, Jeshi la Usalama, PT, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto, Madawa ya kulevya, migambo wote kuanzia wa Tanapa, TSF, special forces, etc.
Majeshi pekee ambayo hayako chini ya amri ya CinC ni ile migambo ya KMKM, JKU na vikosi vya SMZ viko chini ya rais wa Zanzibar.
P
 

Luka 12:2-4

Neno: Bibilia Takatifu

2 “Hakuna jambo lililofunikwa ambalo halitafunuliwa au siri iliyofichwa ambayo haitajulikana. 3 Kwa hiyo, yote mliyosema gizani yatasikiwa mchana: na yote mliyonong’onezana mkiwa mmeji fungia chumbani, yatatangazwa hadharani.
4 “Nawambieni rafiki zangu, msiwaogope wale wauao mwili, na halafu basi.
 
Katiba ya JMT sura ya pili ibara ya kwanza kifungu 1 na 2 vinaelekeza kwamba kutakuwa na rais wa jamhuri ya muungano na kifungu cha pili kinaelekeza kwamba rais atakuwa kiongozi mkuu wa serikali na amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi(Commander in Chief of the Armed Forces). Mamlaka ya amiri jeshi yameelezewa hata kwenye civics ya form 1.

Katiba ikibadilishwa na rais akaondolewa mamlaka ya amiri jeshi basi muundo wa jeshi nao utabadilika na cheo cha amiri jeshi kitarudi jeshini na amiri jeshi ndiye atakayekuwa kama mkuu wa majeshi na power ya kuamua chochote kuhusu majeshi ya ulinzi(armed forces/military forces)

Cheo cha amiri jeshi kiliondolewa kutoka jeshini kwa sababu ya takwa la mfumo wa kidemokrasia ili kuwapa wananchi sauti ya kulifanya jeshi liwajibike kwenye utawala wa watu unaotokana na demokrasia. Kwahiyo hakuna uhusiano wowote kati ya amiri jeshi mkuu na vyombo kama uhamiaji au polisi na magereza, ni vyombo vya serikali ya kiraia hivyo chini ya rais kama head of state na sio kama commander in chief. Mamlaka ya amiri jeshi yanahusu jeshi la ulinzi tu.

Cc: Dr Matola PhD, ndolelejiUduhe, Lucha
 
Asante, hii ni umenipiga shule, nimeelimika.
P
 
Kwanini mnalaumu watu wanaosema ukweli?
Kilamtu timamu anajua uhuni mkubwa unaofanyikaga kwenye chafuzi zetu Sasa yasemwayo yanamshtua nani? Labda zuzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…