Pre GE2025 Askari wa Jeshi la Polisi athibitisha jinsi wanavyosaidia kuiba kura ili CCM ibaki madarakani, ni aibu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Haya yanayotokea sasa hivi ni Kwa bahati mbaya, mazoea au ni planned? Polisi mwenye cheo kikubwa kama huyu anawezaje kutamka maneno mazito kama haya? Huku akifanya demonstration?

Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!

Je, tuamini Yale magari ya kisasa kwa ajili ya Polisi ambayo yataingia nchini hivi karibuni ni hongo kwa Jeshi la Polisi kutoka Serikali ya CCM?

Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!

Unawezaje kusema "Mama ni Rais wa nchi hii si kwa SABABU mlipiga kura na sisi (Jeshi la Polisi) tumo"!

Pia soma: Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

View attachment 3084717

Hii ni kauli ya kijinga na kifedhuli Sana, kwa MTU yoyote yule anayejielewa hawezi kushabikia hili
Kimenukaaa......Daah
 
Mungu anatisha sana
 
Watanzania tumemlilia sana Mungu juu ya chaguzi zetu
sasa Mungu anafanya yake,wanajitaja wenyewe.
na kila mwenye macho sasa anaona mwenyewe.
Ifike mahali viongozi wa dini wakiitwa kusimika isiyo halali wakatae maana Mungu wa mbinguni hapendi dhuruma.
 
Neno lolote analoongea Rais ni maelekezo kwa majeshi yote
Amiri jeshi ni cheo kinachohusu majeshi ya ulinzi pekee kwa Tanzania ndio JWTZ. Cheo cha amiri jeshi kwa katiba ya JMT kinaenda sambamba na urais lakini si lazima amiri jeshi awe rais kwahiyo kukitokea mabadiliko ya kikatiba cheo cha amiri jeshi au supreme commander kinarudi jeshi kwa sababu ni cheo cha kijeshi chenye kuamrisha jeshi kufanya chochote na popote ndani na nje ya nchi kwa maslahi ya nchi sio serikali.

Cc: Pascal Mayalla
 
Madhara yakuajili watu wasiojitambua, ona sasa mnavyovuliwa nguo.

Tuishi na kula kwa haki, haya mapichapicha ni hatari sana siku za usoni.
 
Namna pekee ya polisi kuacha kuisaidia serekali iliyopo madarakani ni kwanza Rais asiwe Amir jesh mkuu pili wakuu wa mikoa na wilaya wasiwe wenyeviti wa kamati ya ulinzi na usalama za mikoa na wilaya.
Vinginevyo hamna njia nyingine
Na hivyo ni vitu ambavyo CCM haiwezi kufanya makosa kuviondoa.
 
Amiri jeshi ni cheo kinachohusu majeshi ya ulinzi pekee kwa Tanzania ndio JWTZ. Cheo cha amiri jeshi kwa katiba ya JMT kinaenda sambamba na urais lakini si lazima amiri jeshi awe rais kwahiyo kukitokea mabadiliko ya kikatiba cheo cha amiri jeshi au supreme commander kinarudi jeshi kwa sababu ni cheo cha kijeshi chenye kuamrisha jeshi kufanya chochote na popote ndani na nje ya nchi kwa maslahi ya nchi sio serikali.

Cc: Pascal Mayalla
Ulichokiandika wewe mwenyewe ukisoma unakielewa?
 
Haya yanayotokea sasa hivi ni Kwa bahati mbaya, mazoea au ni planned? Polisi mwenye cheo kikubwa kama huyu anawezaje kutamka maneno mazito kama haya? Huku akifanya demonstration?
Nadhani wanataka kuhakikisha wale walioingia bungeni kwa awamu ya Tano hawarudi...kisa legacy! Wanapambana na legacy hakuna kingine nadhani. Wabaya wa legacy wanaona hii ndiyo kumi na nane Yao nadhani pia!
 
Hapo sawa labda...maana sio kwa kuropokwa huku
 
Hili Siyo jipya.Màadui wa Zamani walikuwa Ujinga,umakini na maradhi.
Maadui wapya
1.Katiba mbovu
2.Poli-CCm
3.Uchawa
4.Upungufu wa Elimu ya Uraia
 
Watanzania tumemlilia sana Mungu juu ya chaguzi zetu
sasa Mungu anafanya yake,wanajitaja wenyewe.
na kila mwenye macho sasa anaona mwenyewe.
Ifike mahali viongozi wa dini wakiitwa kusimika isiyo halali wakatae maana Mungu wa mbinguni hapendi dhuruma.
aamen amen amen
 
Haya yanayotokea sasa hivi ni Kwa bahati mbaya, mazoea au ni planned? Polisi mwenye cheo kikubwa kama huyu anawezaje kutamka maneno mazito kama haya? Huku akifanya demonstration?

Pia soma:
~
Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
~ DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
~ Askari wa Jeshi la Polisi athibitisha jinsi wanavyosaidia kuiba kura ili CCM ibaki madarakani, ni aibu!
~
Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

Je, tuamini Yale magari ya kisasa kwa ajili ya Polisi ambayo yataingia nchini hivi karibuni ni hongo kwa Jeshi la Polisi kutoka Serikali ya CCM?

Unawezaje kusema "Mama ni Rais wa nchi hii si kwa SABABU mlipiga kura na sisi (Jeshi la Polisi) tumo"!

Hii ni kauli ya kijinga na kifedhuli Sana, kwa MTU yoyote yule anayejielewa hawezi kushabikia hili
Wewe hujamwelewa.
 
Kweli mengi tutayaona mwaka huu na mwakani, yaliyojificha yote yatafichuka. Kumbe ni kweli lisemwalo lipo na kama halipo laja. 4Rs hoyeee!!!!
 
Back
Top Bottom