Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
- #21
Hahahhaa sijasema kama kuna uongo, kuna ukweli mtupuKwani Mkuu... Uongo hapo ni upi?
Tatizo letu hatutaki kuamini kuwa Ukweli siku zote unabaki kuwa Ukweli!
NB: Kwa ukweli aliousema, huyo Afande hamalizi September.