ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kuachiwa? 😂😂Je kama hao Machadema wakishinda Uchaguzi wataachiwa madaraka ??!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuachiwa? 😂😂Je kama hao Machadema wakishinda Uchaguzi wataachiwa madaraka ??!
Afukuzwe kazi mbwa huyuHaya yanayotokea sasa hivi ni Kwa bahati mbaya, mazoea au ni planned? Polisi mwenye cheo kikubwa kama huyu anawezaje kutamka maneno mazito kama haya? Huku akifanya demonstration?
Pia soma:
~ Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
~ DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
~ Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
Je, tuamini Yale magari ya kisasa kwa ajili ya Polisi ambayo yataingia nchini hivi karibuni ni hongo kwa Jeshi la Polisi kutoka Serikali ya CCM?
Unawezaje kusema "Mama ni Rais wa nchi hii si kwa SABABU mlipiga kura na sisi (Jeshi la Polisi) tumo"!
Hii ni kauli ya kijinga na kifedhuli Sana, kwa MTU yoyote yule anayejielewa hawezi kushabikia hili
Wanataka utabiri wa Marehemu Sheikh Yahaya utimieKuna nini nyuma ya hii watu kuvujisha "siri za porini"
Yes nakuunga mkonoKatika mazingira haya Mwakubusi alisema vyama vya upinzani havijajipanga kuchukua nchi kweli? watafanyaje wamebanwa kila kona na vyombo! no fair ground. Mwakubusi review kauli yako,au wape suluhisho.
Armed Forces tafsiri yake ni nini Kikatiba !Hakuna utata wowote, ni upotoshaji wa kutokujua tu. Kipi hujaelewa hapo?
Kijana wa Lema Jamaa alishastaafu 😂😂Afukuzwe kazi mbwa huyu
Sabotage ??! Au ??!Kuna nini nyuma ya hii watu kuvujisha "siri za porini"
Inawezekana make hii sio kawaida, alianza waziri Nape, kafata DC, sasa polisi.....kuna wale wanaccm nao washaropoka kuna kituSabotage ??! Au ??!
Siyo mnayo? Umejitoa?Kazi wanayo!!!
Alitabiri nini Sheikh Yahya ??!Wanataka utabiri wa Marehemu Sheikh Yahaya utimie
Kumbe kwenye siasa upo vizurie☺️Inawezekana make hii sio kawaida, alianza waziri Nape, kafata DC, sasa polisi.....kuna wale wanaccm nao washaropoka kuna kitu
Ushirika wa wachawi haudumuKuna nini nyuma ya hii watu kuvujisha "siri za porini"
Ngoja tuone !Inawezekana make hii sio kawaida, alianza waziri Nape, kafata DC, sasa polisi.....kuna wale wanaccm nao washaropoka kuna kitu
KARMA ??!Ushirika wa wachawi haudumu
Afukuzwe kwa kusema Kweli au Kusema Uongo ??!Afukuzwe kazi mbwa huyu
Kikosi kazi cha porini kimecharukaAfukuzwe kazi mbwa huyu
hii clip ni enzi ya jk, wame edit sauti, na hiyo sauti sio ya afande kyondo, haya mambo ya kijinga hayawasaidiiAlishasaafu huyu Kamanda,ni clip ya zamani
hivi raia anapata wapi gult ya kubishana na askari, hii east africa bora iwe na rais mmoja tu, unaweza mbishia hivi PK au M7 au Salva?Tujikumbushe na hii pia. Internet haisahau
View attachment 3086490