Askari wa JWTZ aliyemuita Polisi 'paka' wakati akitimiza majukumu yake afutwe kazi

Wewe ulihongwa asali juzi tuliza mashavu hayo
 
Hivi wanaorekodi hixi clips wanasambaza..why!!?
 
Kwamba asionywe yeye ni nani? Yuko juu ya sheria au ukiwa JW tayari unakuwa juu ya kila.mtu?

Hizi ndo mindset zinazopelekeaga hao mnaowasujudia wawapigishe majalamba raia wa kawaida na kuwapa adhabu za kijinga. Eti beba dunia!
shida inakuja hapa, mimi na wewe wote wajeshi (kwa kumsaidia tu polisi kwasababu polisi ni raia wakakamavu tu sio wanajeshi, kwa topic hii tufanye tu wote wajeshi), unatokea mtafaruku alafu wewe unajibizana na mimi mbele za watu, hapo mmoja anatakiwa kuwa na hekima hasa yule mdogo. polisi kumdharau au kumuamrisha mwanajeshi mbele za watu ni jambo la kumdharaulisha mwanajeshi mbele za watu, unategemea yeye afanye nini sasa, si anatumia ubabe wake wa kijeshijeshi? hivi polisi anayelinda na kupigana na raia anafikiri yupo level moja na JWTZ anayelinda mipaka ya nchi na kupigana na maadui wa nchi? kuweni serious.
 
tunatamani sana tungekuwa na traffick wastaarabu, waelewa na wenye moyo mzuri. hata hizo hela basi wazikusanye ziende kwenye serikali. usifikiri hatuwajui traffick, wengi tuni rafiki zetu na ndugu zetu. sheria tunatakiwa kufuata ila kuna siku tu hili jeshi litatakiwa liwe kama majeshi ya nchi zingine. hakuna mtu huwa anawatakia mazuri sio kwasababu yeyote ila kwa sababu ya roho mbaya. rushwa rushwa rushwa.
 
Wanalinda mipaka wapi?
Wakati wamejazana tu hapo mgulani, four four wakikuza vitambi.

Elezea mlichowazidi kwenye uwanda wa medani.

N.B hata kama police siwapendi
 
Polisi gani wasomi???
Wasomi gani vilaza watupu wasio jua hata majukumu yao ya kazi ,RPc mzima vichwa kubwa akili zero ,halijui hata Police general order ni nini refer kesi ya Mbowe yule mpuuzi kingai na Mabwege wenzake , sasa huyo askari police wa kawaida si ndio kavu kabisa ?
 
Safi sana,Hawa JWTZ wanajikutaga keki sana na hawagusiki..

Kila mtu lazima aheshimu Sheria za Nchi Kwa ustawi wa watu wake sio unajikuta kisa kacheo.

Mwisho vita zikianza Hawa Hawa wanaojifanya kula kiapo hiwaoni mstari wa mbele wanachukua raia au migambo nk wanawaweka mbele kama shield.Sasa maana ya Jeshi na kuwalipa salary kubwa inakuwa ni ipi?
 
Mbona umemind sana man?
 
Sasa umeridhika mwenzako kupoteza kazi.Huyo alilewa tu.Sasa subiri aanze kutumia taaluma ya kijeshi kutafuta Pesa atajuta kwanini hamkuvumilia Matusi
Anathibitika tu.
 
Lugha za kijeshi hizo hata samia ana jina la mnyama, wapo faru, tembo, poongo na huyo dogo mjeshi ni paka anampa mkwara panya!

Niutovu wa nidham constebo wa polisi kumzingua jwtz.
Naomba popote ukiona jwtz muwanunulie bia
Tatizo so wewe ni malezi uliolelewa Naya!!! Narudia tena jamii forum imejaa washamba tofauti na miaka ya nyuma
 
Wanajeshi wakikagukiwa vyeti Dunia itasimama
 
Na watukanwe tu hakuna namna,polisi gani nyie mnajifanya miungu watu na mnawaza tu rushwa badala ya kutekeleza majukumu yenu. Watukanwe tu!!
 
Hata mwanasheria mkuu wa zamani wa Tanzania bwana Werema alimuita mbunge bwana David Kafulila a k a Mtalaka,Tumbiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…