Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shida inakuja hapa, mimi na wewe wote wajeshi (kwa kumsaidia tu polisi kwasababu polisi ni raia wakakamavu tu sio wanajeshi, kwa topic hii tufanye tu wote wajeshi), unatokea mtafaruku alafu wewe unajibizana na mimi mbele za watu, hapo mmoja anatakiwa kuwa na hekima hasa yule mdogo. polisi kumdharau au kumuamrisha mwanajeshi mbele za watu ni jambo la kumdharaulisha mwanajeshi mbele za watu, unategemea yeye afanye nini sasa, si anatumia ubabe wake wa kijeshijeshi? hivi polisi anayelinda na kupigana na raia anafikiri yupo level moja na JWTZ anayelinda mipaka ya nchi na kupigana na maadui wa nchi? kuweni serious.Kwamba asionywe yeye ni nani? Yuko juu ya sheria au ukiwa JW tayari unakuwa juu ya kila.mtu?
Hizi ndo mindset zinazopelekeaga hao mnaowasujudia wawapigishe majalamba raia wa kawaida na kuwapa adhabu za kijinga. Eti beba dunia!
tunatamani sana tungekuwa na traffick wastaarabu, waelewa na wenye moyo mzuri. hata hizo hela basi wazikusanye ziende kwenye serikali. usifikiri hatuwajui traffick, wengi tuni rafiki zetu na ndugu zetu. sheria tunatakiwa kufuata ila kuna siku tu hili jeshi litatakiwa liwe kama majeshi ya nchi zingine. hakuna mtu huwa anawatakia mazuri sio kwasababu yeyote ila kwa sababu ya roho mbaya. rushwa rushwa rushwa.Mtu akivunja SHERIA za usalama barabara hua anawajibishwa kama Dereva alimradi alikua anaendesha gari au alikua anamlazimisha Dereva kuvunja SHERIA .
Serikali sio wajinga waliowapa TRAFIKI kazi ya kusimamia SHERIA za usalama Barabarani walijua wapo mpaka mawaziri. Lakini wakivunja SHERIA wakiwa wanaendesha watasimamishwa na kuelezwa kosa lao. Ina maana Mwanajeshi akilewa aachwe aendeshe gari mwendokasi na kuhatarisha maisha ya wengine Kwa sababu ya cheo chake. Gari linaua na kujeruhi ndio maana Tarafiki anadili na Dereva sio bosi Wala cheo Cha mtu.
Watanzania tuhamasishane kufuata SHERIA . Nchi hii Wahalifu wakiwa wengi kuliko wanaotii SHERIA Hali itakua ngumu kiusalama .
Kuna SHERIA za usalama barabarani zinapaswa kufutwa ili kupunguza kero na rushwa za kubambika Kwa Tarafiki .
SHERIA ndizo mbovu sio TRAFIKI. TRAFIKI wanafuata TU mkumbo wa SHERIA chakavu
Wanalinda mipaka wapi?shida inakuja hapa, mimi na wewe wote wajeshi (kwa kumsaidia tu polisi kwasababu polisi ni raia wakakamavu tu sio wanajeshi, kwa topic hii tufanye tu wote wajeshi), unatokea mtafaruku alafu wewe unajibizana na mimi mbele za watu, hapo mmoja anatakiwa kuwa na hekima hasa yule mdogo. polisi kumdharau au kumuamrisha mwanajeshi mbele za watu ni jambo la kumdharaulisha mwanajeshi mbele za watu, unategemea yeye afanye nini sasa, si anatumia ubabe wake wa kijeshijeshi? hivi polisi anayelinda na kupigana na raia anafikiri yupo level moja na JWTZ anayelinda mipaka ya nchi na kupigana na maadui wa nchi? kuweni serious.
Wasomi gani vilaza watupu wasio jua hata majukumu yao ya kazi ,RPc mzima vichwa kubwa akili zero ,halijui hata Police general order ni nini refer kesi ya Mbowe yule mpuuzi kingai na Mabwege wenzake , sasa huyo askari police wa kawaida si ndio kavu kabisa ?Polisi gani wasomi???
Tena 4 ya 28 na kuendelea that's means mediocrity ndio imekumbatiwa zaidiMwaka Jana police walitoa tangazo la kazi wanahitaji watu wenye ufaulu wa division 4
Polis japo siwapendiHivi kati ya JWTZ na Polisi kina nani wanafanya kazi kubwa hapa nchini?
Pole afande jescaInasemekana polisi ni wasomi kuliko JWTZ.
JWTZ wengi ni mbumbumbu
Safi sana,Hawa JWTZ wanajikutaga keki sana na hawagusiki..Kuna clip inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha askari wa usalama barabarani akifanya kazi yake lkn askari wa JWTZ anaingilia kazi ya polisi.
Hata polisi alipompa onyo yule askari wa JWTZ kuwa aache kufanya hivyo yule askari alijibu "huwezi kunionya mm paka wewe".
Kwa utovu huu wa nidhamu uliooneshwa na askari wa JWTZ hatua za kinidhamu na kiutumishi zichukuliwe haraka sana dhidi ya huyu askari wa JWTZ ili kuendelea kulinda hadhi na heshima ya jeshi la wananchi.
View attachment 2482744
Mbona umemind sana man?Safi sana,Hawa JWTZ wanajikutaga keki sana na hawagusiki..
Kila mtu lazima aheshimu Sheria za Nchi Kwa ustawi wa watu wake sio unajikuta kisa kacheo.
Mwisho vita zikianza Hawa Hawa wanaojifanya kula kiapo hiwaoni mstari wa mbele wanachukua raia au migambo nk wanawaweka mbele kama shield.Sasa maana ya Jeshi na kuwalipa salary kubwa inakuwa ni ipi?
Anathibitika tu.Sasa umeridhika mwenzako kupoteza kazi.Huyo alilewa tu.Sasa subiri aanze kutumia taaluma ya kijeshi kutafuta Pesa atajuta kwanini hamkuvumilia Matusi
Tatizo so wewe ni malezi uliolelewa Naya!!! Narudia tena jamii forum imejaa washamba tofauti na miaka ya nyumaLugha za kijeshi hizo hata samia ana jina la mnyama, wapo faru, tembo, poongo na huyo dogo mjeshi ni paka anampa mkwara panya!
Niutovu wa nidham constebo wa polisi kumzingua jwtz.
Naomba popote ukiona jwtz muwanunulie bia
Swali la pre form oneHivi kati ya JWTZ na Polisi kina nani wanafanya kazi kubwa hapa nchini?