Hata kama...ndio amuite mlinda amani mwenzie PAKA!!Kinidhamu askari wa barabarani kakosea!
Huyo askari wa barabarani ni PC mwanajeshi ni staff serjeant. Askari wa barabarani hawezi kumuonya mwanajeshi kwa sababu ki protokali (yaani ngazi za kicheo) staff serjeant ni kiongozi wake.
Angemuita pembeni azungumze naye si kumuonya.
Video ikowapi? Moderator futeni huu upuuzi
Hiyo ni kweli trafiki alikosea pakubwa kutamka "nakuonya" hilo neno kwenda kwa askari wa jwtz tena mbele za watu alipo sawa kabisa sidhani kama kuna mwanajeshi atayeweza vumilia neno hilo toka kwa trafiki,ameingiliaje, fafanua, au ni ile kusimamishwa na traffick kama tulivyozoea namna wanavyoonea watu barabarani huko. kama Mungu amekujalia unamiliki gari, utakuwa unaelewa na kuwafahamu hawa viumbe. inawezekana askari wa jw alikasirika tu kutokana na traffick kumdharau wakati kicheo JW ni mkubwa kwake. tangu lini traffick police akamuonya JWTZ? tangu lini. si ndio kumkosea heshima hapo.kwanni asimwite nyau?
Traffic nao wanazenguaga hawa,msikimbilie kuhukumuCheo kitu gani bwana, fikiria baba yako aliekuzidi cheo na umri akija nyumbani kwako na akaanza kuingilia nafasi yako ukiwa kwako utajisikiaje?
Kwakweli mkuu sisi nchi yetu hii bado sana[emoji23][emoji23][emoji23]NIDA sina, mwaka wa 3 sasa nasubiria mkuu
Kinachotakiwa ni Askari wetu wafanye kazi kwa kuheshimiana na uweledi Wawapo kazini, na nje ya kazi wajitambue. Alafu degree holders, hawezi kukaa barabarani, au kakaa lindoIlikuwa zamani hiyo mkuu. Polis siku hizi wengi ni degree holders. Lkn jeshini Kuna mijtu imejiunga juzi tu hapa eti kisa ina nguvu za kunyanyua vyuma
Yule mtoto wa Simbachawene alifanywa nini?Kuna clip inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha askari wa usalama barabarani akifanya kazi yake lkn askari wa JWTZ anaingilia kazi ya polisi.
Hata polisi alipompa onyo yule askari wa JWTZ kuwa aache kufanya hivyo yule askari alijibu "huwezi kunionya mm paka wewe".
Kwa utovu huu wa nidhamu uliooneshwa na askari wa JWTZ hatua za kinidhamu na kiutumishi zichukuliwe haraka sana dhidi ya huyu askari wa JWTZ ili kuendelea kulinda hadhi na heshima ya jeshi la wananchi.
View attachment 2482212
Baeleze...Wewe nani kakuambia.Unakumbuka waongoza ndege waligoma JWTZ wakaenda kamata usukani airport? Unakumbuka madaktari waligoma Muhimbili wakaenda kamata usukani? Unakumbuka meli ya Ukerewe ilipinduka JWTZ wakaenda igeuza? Vita vya Kagera Iddi Amini alivunja daraja likajengwa lingine kwa muda mfupi? Wewe ulikuwa hujazaliwa
Jeshini ni wasomi mno kuna degree za phD na maproffesor wapo wa kumwaga yupo mmoja anaitwa Brigedier general dr??? Namuhifadhi jina lake.
Hakuna fani uraiani jeshini haipo
Wewe unaonekana ndio mbumbumbu na hujapitia jeshi
... hao ni purposely kwa ajili ya kwenda kulinda makazi na familia za viongozi usiku wakiwa wamepumzika! Wewe na first class yako ukipewa hiyo kazi utaweza? Tuheshimu kazi za watu.Mwaka Jana police walitoa tangazo la kazi wanahitaji watu wenye ufaulu wa division 4
Huwajui police uyo mjeda atawekewa ata risasi zilizompiga Akwilina kikosi kizima kimkataeBro! unalinganisha kibanda cha udongo na ghorofa halafu unauliza kipi chenye thamani!
Atadhibitiwa tu. Wengi washakamatwa na kushughulikiwa. Hskuna aliye juu ya sheriaAkiingia mtaani akaamua kuwa jambazi ghafla unayajua madhara yake?