makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,171
- 3,461
Hata kama...ndio amuite mlinda amani mwenzie PAKA!!Kinidhamu askari wa barabarani kakosea!
Huyo askari wa barabarani ni PC mwanajeshi ni staff serjeant. Askari wa barabarani hawezi kumuonya mwanajeshi kwa sababu ki protokali (yaani ngazi za kicheo) staff serjeant ni kiongozi wake.
Angemuita pembeni azungumze naye si kumuonya.