Askari wa JWTZ aliyemuua Mkewe na yeye afariki Dunia akipatiwa matibabu

Askari wa JWTZ aliyemuua Mkewe na yeye afariki Dunia akipatiwa matibabu

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Ataagwa kesho Lugalo Jeshini kabla ya mwili kusafirishwa kwa maziko Mkoani Mara.

Alilazwa Hospitali ya Mloganzila kwa Matibabu baada ya kunywa sumu.

Marehemu Daniel Mirumbe Marwa alikuwa Askari wa Kikosi cha Jeshi 92 KJ na mkewe aliyemuua aliitwa Joyce Ismail Bhoke.

Marehemu hao wameacha Watoto 3.

FB_IMG_16073474773586591.jpg

Pia soma: https://www.jamiiforums.com/threads...-yeye-mwenyewe-kujiua-bila-mafanikio.1816856/
 
Back
Top Bottom