Askari wa JWTZ aliyemuua Mkewe na yeye afariki Dunia akipatiwa matibabu

Askari wa JWTZ aliyemuua Mkewe na yeye afariki Dunia akipatiwa matibabu

Malipo gani mkuu, kama kufa ndo lilikuwa lengo lake ndiyo maana alikunywa somo, hitaji lake limetimizwa
Mkubwa malipo ni hicho kifo, maana hata asingekunywa sumu hukumu ya kuua iko wazi.
Hivyo akaona ni bora ajihukumu mapema tu kabla kesi haijaanza kurindima mahakamani.
 
Ataagwa kesho Lugalo Jeshini kabla ya mwili kusafirishwa kwa maziko Mkoani Mara

Alilazwa Hospitali ya Mloganzila kwa Matibabu baada ya kunywa sumu

Marehemu Daniel Mirumbe Marwa alikuwa Askari wa Kikosi cha Jeshi 92 KJ na mkewe aliyemuua aliitwa Joyce Ismail Bhoke

Marehemu hao wameacha Watoto 3
Inahuzunisha sana hii. Lakini naona kama haikupaswa kuwapo kwenya Jukwaa la Siasa, nafikiri Jukwaa la Huzuni- sijui lipo? ingefaa zaidi!😢😢😢
 
Watoto atalea nani? Akili mbovu kabisa. Watu qa Mara kuna wakati wanajisahau sana. Wanafikiria bado tunaishi dunia ya ubabe usio na tija. Walinufaika nao wakiibiana ng'ombe enzi zile
Wewe 'Pimbi' una 'Utani' na Sisi wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) au unatafuta tu Ugomvi nasi kisha uuone pia na 'Ubabe' wetu hapa hapa JF ulipo?
 
Watoto atalea nani? Akili mbovu kabisa. Watu qa Mara kuna wakati wanajisahau sana. Wanafikiria bado tunaishi dunia ya ubabe usio na tija. Walinufaika nao wakiibiana ng'ombe enzi zile
Yule wa gunia mbili za mkaa alikuwa wa wapi vile?
 
Back
Top Bottom