Askari wa JWTZ aliyemuua Mkewe na yeye afariki Dunia akipatiwa matibabu

Askari wa JWTZ aliyemuua Mkewe na yeye afariki Dunia akipatiwa matibabu

Dunia ni kubwa sana, kama hutaki kumuona mtu hama Kaanze maisha mapya.
Kabisa mamiie... kifo ni kigum mno kwa vijana wadogo namna hiyo.. wanaacha watoto yatima..
You better go and start afresh kwa kwel.. it has never been too late...
And btw ukute hata huyo jamaa nae amekula wengine sana tu......
Unaelewa nao muhim...
 
ASKARI ALIYEDAIWA KUMUUA MKEWE NAYE AFARIKI DUNIA

Askari wa Jeshi la Wananchi MT 82994 CPL Daniel Mirumbe Marwa wa Kikosi cha 92 KJ ambaye mwishoni mwa wiki alidaiwa kumuua mkewe aliyetambulika kwa jina la Joyce Ismail Boke amefariki dunia usiku wa kuamkia jana Jumapili katika Hospitali ya Muhimbili Mloganzila alipokuwa amelazwa kwaajili ya matibabu baada ya kudaiwa kunywa sumu.

Akizungumza kwa njia ya simu leo, Jumatatu kaka wa marehemu Josia Marwa amesema taratibu za kuaga miili ya wanandoa hao zitafanyika kesho Jumanne, Disemba 8 katika Hospitali ya Lugalo kuanzia saa 2:00 na kisha kusafirishwa kwenda kijijini kwao mkoani Mara kwaajili ya mazishi ya wapendwa wao.

Marehemu hao wameacha watoto watatu.

Chanzo: Azam TV

Nikiwa kama mwana Mkoa wa Mara ( Musoma ) Mwandamizi na 'niliyechukizwa' na 'Upuuzi' huu Kesho nitaenda pia Lugalo Kupiga Kofi Jeneza lake.
 
Sasa mwanajeshi unajiuaje kwa wivu!
Mi nilitegemea Hawa jamaa wawe na roho ngumu ya kuvumilia maumivu Kama paka,sasa unajiua Tena?
Unaweza ukatoa kipigo,lakini kuua !Tena mwanamke,mkeo,ungemtsfuta mgoni wako,ukampa kipigo Cha mbwa mwizi,kimya kimya,Kama bokoharam,harafu unaturia.
 
Ningekuwa mwanajeshi ningetia neno hapa, sema mimi ni raia wa kawaida tu lakini mzalendo.
 
ila wanawake sumtimes muwe mnaangalia maana mi nitawalaumu siku zote kwa kutaka usiku na mchana kwa wakati mmoja
 
Ataagwa kesho Lugalo Jeshini kabla ya mwili kusafirishwa kwa maziko Mkoani Mara

Alilazwa Hospitali ya Mloganzila kwa Matibabu baada ya kunywa sumu

Lugalo si wana nguvu sana ya utaalamu wa tiba kuliko Mloganzila!!!
 
92 kj ni kikosi cha makomandoo...inamaana jamaa alikua ni comandoo
Sasa komandoo gani anakuwa ana hasira za kike,kiasi hicho?yaani mkeo kapigwa pipe?wewe unaua,!mambo ya kifala sana,misambwanda imejaa kibao mtaani!
Piga chini wife tafuta mwingine,
Wadogo zangu,vipo vitu vya kulipiza kisasi,sio mke kutoka nje,
Mtu akikudhurumu mari sawa,sio haya mambo ya kijinga kabisa.
 
Back
Top Bottom