Askari wa JWTZ aliyemuua Mkewe na yeye afariki Dunia akipatiwa matibabu

Askari wa JWTZ aliyemuua Mkewe na yeye afariki Dunia akipatiwa matibabu

Hakuna Mwanaume niliyekuwa na 'Wivu' wa Kimapenzi ulimwenguni kama Mimi GENTAMYCINE ila kuna Siku nakumbuka 'Wivu' ulinishika na Kupandwa na Hasira zangu 'Mchanganyiko' za Kizanaki na Kimakuwa hadi kutaka kufanya tukio baya kwa Mhusika ila nilikutana na Mwanamama Mmoja hivi ambapo alinipa Wosia na Elimu kuhusu Wanawake ambapo nilimwelewa na Kumshukuru mno. Kwa Elimu niliyopewa na Yule Mama leo hii hata nikute Demu au Mke wangu 'anatombwa' wala sishtuki au sitomdhuru Mtu sana sana nitaishia Kumpongeza 'Mtombaji' tu.
Acha lugha na vitendo vya matusi.
 
Dada zetu muwe mnaangalia na watu wa kuolewa nao kuna makabila sio.
Wote hao kabila moja wala usisingize kabila. Kuna mporomoko mkubwa wa maadili sasa na siasa imeingizwa ndani ya ndoa ile 50/50 ndio hiyo. Mwanamke anataka 50 mwanaume wa ndoa na 50 mchepuko vivyo hivyo wanaume.

Ndoa imekuwa politicised haya mambo yatazidi kuongezeka. Ukikuta imesimamia misingi ya Allah/Mungu huwezi kutana na upuuzi huu.
 
Mpaka kuamua kumuua mkewe inaelekea huyo aliyesababisha atakuwa na cheo kikubwa zaidi yake haiwezekani raia wa kawaida amtombee mwanajeshi halafu jamaa amuachie tu
 
Kuna umuhimu wa kuwa na vita ya kirafiki.
Nguvu zikizidi mwilini haya ndio madhara yake
 
Wewe 'Pimbi' una 'Utani' na Sisi wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) au unatafuta tu Ugomvi nasi kisha uuone pia na 'Ubabe' wetu hapa hapa JF ulipo?

Mkalee watoto kijana wenu amewaachia. Kauai Bhoke. Of all the things unamuua Bhoke kweli?😂😂😂😂
 
Familia ziwe zinafanya regular meetings kujadili maendeleo ya familia na changamoto zinazowakabili.

Kisha waambiane kwa uwazi kama mwenzio wako ukiona anakunyima raha achaneni kwa amani.

Sababu kumdhuru mkeo au mumeo kunagharimu jera , kunyongwa, kifo.

Halafu watoto na ndugu wanabaki na mzigo wa ulezi na mahangaiko.

Jamii iondoe ukinywa Haya mambo yawekwe wazi.

Visasi ni vibaya!
 
Saingine talaka ina faida zake ijapokuwa imeandikwa Mungu anachukia kuachana!

Talaka inaepusha mengi sana ikiwemo kama hayo!
 
Watoto atalea nani? Akili mbovu kabisa. Watu qa Mara kuna wakati wanajisahau sana. Wanafikiria bado tunaishi dunia ya ubabe usio na tija. Walinufaika nao wakiibiana ng'ombe enzi zile
Mkuu nimeona makabila kibao wanauza mwenza na kujijua.
Hii ni kesi ya ugonjwa wa akili siyo ya kikabila.
 
Angalia sasa maamuzi ya mtu mmoja yatavyogharimu familia na ndugu ulezi, Ada za Shule n.k

Baba kazi ameiharibu na mshahara hakuna tena!

Familia na ndugu muonyane, wambieni ndugu zenu waache uovu.

Waambieni waache umalaya , kuendesha magari kwa mwendo kasi, n.k

Wakipata magonjwa wakuuguza ni nyie, wakiondoka mzigo wa malezi ni wenu n.k

Mchuma janga hula na wakwao!
 
Back
Top Bottom