Askari wa JWTZ aliyemuua Mkewe na yeye afariki Dunia akipatiwa matibabu

Askari wa JWTZ aliyemuua Mkewe na yeye afariki Dunia akipatiwa matibabu

Na alichonikera zaidi ni 'Poti' wangu kabisa yaani bora hata angekuwa tu ni Mhaya au Mnyiramba au Muha au Mnyaturu au Mrangi au Mkara Mkuu.
Hizo kabila ulizotaja hazina mambo hayo ya ajabu. Kama kujiua labda Mhehe.
 
Very very sad. Watoto atalea nani? Akili zetu hizi
Ubinafsi huo, kaua mke, akajiua, bila kufikiria hawa watoto watatu watatunzwa na nani?? Bila mapenzi na malezi ya wazazi....😠
Sooo sad!
Pia doa stigma na psychological trauma aliyowaachia watoto, Mungu amuweke panapostahili.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mapoti ,wajeda Ni washamba wa mapenz Sana sijui tatizo Ni Nini

Au kwavile wanakaa Sana kazin kwao hata muda wa kujichanganya wanakosa?

Ni wajinga Sana linapokuja swala la mapenz alaf Wana shobo Sana wakijaga kitaa na kombat zao wanajiona wapo juu ya dunia na madem vile wanajua jamaa wanajua kuhonga basi wanawashobokea Sana wanapigwa pesa na mbunye wanaambulia manyoya ,wakal wa kitaa tunakula bure bure kabisa.

Wanaosema mapenz Ni stamina inabid wajiulize Sana kwann hivi visanga vinawatokea Sana hawa jamaa wazee wa mtizi muda wote?

Mapenz Ni hisia kat ya mtu na mtu mapenz sio kukaa kifuan lisaa lizima ,Dem akikuelewa dakika 10 had 15 zinatosha Sana kumridhisha .

Sasa una mazoez na stamina za kutosha alaf unanuka mdomo au una kijasho fulan Cha kukera ,Nan atakuwa na hisia na wewe Zaid ya kukupiga pesa tu.

Narudia Tena mapenz Ni hisia kat ya mtu na mtu ,wajeda na mapot wanaoa wanawake kwa nguvu ya tuposho twao twa uhakika kila mwez nje na hapo wanatombewa Sana wake zao na Nina ushahid wa hili maana nishawala mapot Kama wawil na mjeda mmoja pot mmoja mke wa pot mwenzie na mjeda nae mme wake mjeda ,pot wa pil alikuwa hajaoelewa ila ana mchumba pot mwenzie lakin nikawa najisavia kimtindo Tena bills zote kwao wao .

Mapot na wajeda punguzen unabe kwenye mapenz ,mapenz Ni utaratib wa Hali ya juu msome mwenzio anataka nn Zaid mtakufa Sana kwa wivu wa kikuda.
Siku zako zinahesabika endelea kujisevia wake za watu. Hakuna ubaya unaodumu utakuja kukumbuka hii meseji.
 
Mbona kumuacha mtu kwa gafla nayo ni adhabu kubwa sana!

Angalia mateso endelevu alowaachia watoto na ndugu zake na za mke!

Watoto hawataacha kumlaumu baba yao milele!
 
Werevu wanasema tatizo au changamoto inapojitokeza huwa ni almost 10-20% lakini zaidi ya 80-90 % ni vile mtu husika anavyolikabili hilo tatizo!

Hata kama amemkuta ugoni sasa alichokipata na mateso watakayopata watoto vinahusiana vipi?!
 
Anaweza akasababisha roho za mauaji kiasi cha kuangamiza record ya kizazi chake [emoji24][emoji24]
 
Wanawake wa kumwaga wa kila aina !

Mwanamke au Mwanaume anakukosesha amani na raha ya nafsi si bora uachane naye?!
 
Akili kichwani mwao.
Kuna Jamaa dada yake anaishi na mkurya Yule dada karudi kwa kaka yake.kisa vipigo.
Yule Kaka MTU akimuuliza shemeji yake Yule shemeji anasema amempiga makofi tu.dada akiulizwa anasema jamaa uwa anampiga na mikanda.sasa mtu Kama huyo utaendelea kumruhusu akae na dada yako?ipo siku atakuja kumchoma visu
Kwahiyo wakurya wasioe? Haiwezekani.
 
Hakuna Mwanaume niliyekuwa na 'Wivu' wa Kimapenzi ulimwenguni kama Mimi GENTAMYCINE ila kuna Siku nakumbuka 'Wivu' ulinishika na Kupandwa na Hasira zangu 'Mchanganyiko' za Kizanaki na Kimakuwa hadi kutaka kufanya tukio baya kwa Mhusika ila nilikutana na Mwanamama Mmoja hivi ambapo alinipa Wosia na Elimu kuhusu Wanawake ambapo nilimwelewa na Kumshukuru mno. Kwa Elimu niliyopewa na Yule Mama leo hii hata nikute Demu au Mke wangu 'anatombwa' wala sishtuki au sitomdhuru Mtu sana sana nitaishia Kumpongeza 'Mtombaji' tu.
Tupatie nasi hiyo elimu itusaidie..
 
Mapoti ,wajeda Ni washamba wa mapenz Sana sijui tatizo Ni Nini

Au kwavile wanakaa Sana kazin kwao hata muda wa kujichanganya wanakosa?

Ni wajinga Sana linapokuja swala la mapenz alaf Wana shobo Sana wakijaga kitaa na kombat zao wanajiona wapo juu ya dunia na madem vile wanajua jamaa wanajua kuhonga basi wanawashobokea Sana wanapigwa pesa na mbunye wanaambulia manyoya ,wakal wa kitaa tunakula bure bure kabisa.

Wanaosema mapenz Ni stamina inabid wajiulize Sana kwann hivi visanga vinawatokea Sana hawa jamaa wazee wa mtizi muda wote?

Mapenz Ni hisia kat ya mtu na mtu mapenz sio kukaa kifuan lisaa lizima ,Dem akikuelewa dakika 10 had 15 zinatosha Sana kumridhisha .

Sasa una mazoez na stamina za kutosha alaf unanuka mdomo au una kijasho fulan Cha kukera ,Nan atakuwa na hisia na wewe Zaid ya kukupiga pesa tu.

Narudia Tena mapenz Ni hisia kat ya mtu na mtu ,wajeda na mapot wanaoa wanawake kwa nguvu ya tuposho twao twa uhakika kila mwez nje na hapo wanatombewa Sana wake zao na Nina ushahid wa hili maana nishawala mapot Kama wawil na mjeda mmoja pot mmoja mke wa pot mwenzie na mjeda nae mme wake mjeda ,pot wa pil alikuwa hajaoelewa ila ana mchumba pot mwenzie lakin nikawa najisavia kimtindo Tena bills zote kwao wao .

Mapot na wajeda punguzen unabe kwenye mapenz ,mapenz Ni utaratib wa Hali ya juu msome mwenzio anataka nn Zaid mtakufa Sana kwa wivu wa kikuda.
utakuja kukatwa marinda usijiendekeze kula mali za watu.

kila mtu akikomaa kumridhisha mpenzi wake dunia itasimama hii,ndio maana kuna madaktari wanatibu wagonjwa ambao ni wahandisi wa majengo,ila hakuna mtu anayefanya kazi ya kuridhisha wake na wachumba wa watu.haipo kazi hiyo.
 
Ataagwa kesho Lugalo Jeshini kabla ya mwili kusafirishwa kwa maziko Mkoani Mara.

Alilazwa Hospitali ya Mloganzila kwa Matibabu baada ya kunywa sumu.

Marehemu Daniel Mirumbe Marwa alikuwa Askari wa Kikosi cha Jeshi 92 KJ na mkewe aliyemuua aliitwa Joyce Ismail Bhoke.

Marehemu hao wameacha Watoto 3.

Pia soma: Askari wa JWTZ Atuhumiwa Kwa Mauaji ya Mke Wake wa Ndoa Huku Akijaribu Yeye Mwenyewe Kujiua Bila Mafanikio
Ona sasa watoto wamebaki Yatima... Naamini wote wanajuta huko walipo.
FUNZO: Tujitahidi kadiri inavowezekana kuimudu mihemko/Hasira katika hali yoyote ile!
 
Back
Top Bottom