Askari wa JWTZ aliyemuua Mkewe na yeye afariki Dunia akipatiwa matibabu

Askari wa JWTZ aliyemuua Mkewe na yeye afariki Dunia akipatiwa matibabu

Unazani ni kiivyo basi?!

Yeye huyo Mwanaume mwanajeshi kuna uwezekano mkubwa kuwa alikuwa Na michepuko chungu nzima [emoji108][emoji108][emoji108]

Lakini kisha wanajidai wana wivu wivu gani huo kama siyo ukorofi ulopitiliza?

It is not fair kabisa!
Usiusemee moyo wa mtu Babuuu
 
Ubinafsi huo, kaua mke, akajiua, bila kufikiria hawa watoto watatu watatunzwa na nani?? Bila mapenzi na malezi ya wazazi....😠
Sooo sad!
Pia doa stigma na psychological trauma aliyowaachia watoto, Mungu amuweke panapostahili.

Everyday is Saturday............................... 😎

Kuliko kuua bora angemuacha tu. Wakurya wa kule kwao akili zao wanazijua wenyewe
 
Sawa mwisho wake ndo huo..
Jela au kujiua mwenyewe.
Akili kichwani kwako.
Unataka wawe wanafanya ujinga halafu waendelee kuchekewa chekewa, umesahau hata magufuli alisema na yeye hapati raha kwa mke wake, ni mwendo wa kupambana tu.
 
Mbona taarifa za mwanzo hazikusema amekunywa sumu zilisem anashikiliwa na jeshi la polise au alinywea akiwa lockup??
 
Bado wanaume wengi ni wadhaifu ushamba kwa Mwanamke,Mwanamke akishakuchoka amekuchoka harudi nyuma akirudi ujue hko alipoenda kpigika na ukimpokea basi utakuwa umepokea bomu

Ova
 
Vumilia kidogo bado teuzi zinaendelea
Huyu ilibidi aje humu jf jukwaa lile la warembooo wakali angekutana na watoto wakali[emoji23][emoji23][emoji23]
Angeendelea na maisha

Ova
 
Huyu ilibidi aje humu jf jukwaa lile la warembooo wakali angekutana na watoto wakali[emoji23][emoji23][emoji23]
Angeendelea na maisha

Ova
Mtu mwenyewe mzee Sahiv, Hana pesa, nan anamtaka
 
Huu Ujinga STAKI kusikia, Yaani nijiue sababu ya Mwanamke !!!

Nyama choma na bia namwachia Nani?? Na watoto wangu wabaki yatima!! Wanawake wote Hawa!!

Asee Ni wakati wa Jeshi kuajiri wataalam wa Guidance & Counseling. Vijana wengi wanakosa muda tulivu wa kutafakari.

Na tabia nyingi za Hawa wanajeshi wa chini Ni kujitenga tenga na watu wao wa karibu, wanarishana matango pori wakiwa lindoni.
 
Embu jaribu uje uonje penzi langu halafu nikupige chini tuone kama hitojitundika
 
Back
Top Bottom