Askari wa JWTZ aliyemuua Mkewe na yeye afariki Dunia akipatiwa matibabu

Askari wa JWTZ aliyemuua Mkewe na yeye afariki Dunia akipatiwa matibabu

Dah watoto Sasa shida wanatia hasira kwa visirani vyao yaani unakuta kakosea halafu bado analeta kisirani ona Sasa.
 
Hakuna Mwanaume niliyekuwa na 'Wivu' wa Kimapenzi ulimwenguni kama Mimi GENTAMYCINE ila kuna Siku nakumbuka 'Wivu' ulinishika na Kupandwa na Hasira zangu 'Mchanganyiko' za Kizanaki na Kimakuwa hadi kutaka kufanya tukio baya kwa Mhusika ila nilikutana na Mwanamama Mmoja hivi ambapo alinipa Wosia na Elimu kuhusu Wanawake ambapo nilimwelewa na Kumshukuru mno...
Tuelezee kidogo juu ya hyo elimu mkuu. Unaweza kutusaidia wengi
 
WE ARE THE SAD GENERATION WITH HAPPY PICTURES
 
Nmejifunza kitu kikubwa sana kwenye huu mkasa.

Imagine kama jamaa angejua before kuwa matokeo yatakuwa ni haya,nina uhakika ange control hasira zake.
 
Na ndiyo maana Sisi wengine akina GENTAMYCINE tunaojijua kuwa tuna Hasira za Kishalubela ( Kikatili ) tumeshaapa kuwa hatutakuja Kuoa tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah,yaani mara pah watoto 3 ghafla wanakuwa yatima hivi hiviii,😭😭😭😭😭😭
 
Ataagwa kesho Lugalo Jeshini kabla ya mwili kusafirishwa kwa maziko Mkoani Mara.

Alilazwa Hospitali ya Mloganzila kwa Matibabu baada ya kunywa sumu.

Marehemu Daniel Mirumbe Marwa alikuwa Askari wa Kikosi cha Jeshi 92 KJ na mkewe aliyemuua aliitwa Joyce Ismail Bhoke.

Marehemu hao wameacha Watoto 3.

Pia soma: Askari wa JWTZ Atuhumiwa Kwa Mauaji ya Mke Wake wa Ndoa Huku Akijaribu Yeye Mwenyewe Kujiua Bila Mafanikio

Handsome kama huyu.... si angeqchana nae aoe wengine waliojaa mitaan bila waume?
 
Back
Top Bottom