Askari wa JWTZ aliyemuua Mkewe na yeye afariki Dunia akipatiwa matibabu

Askari wa JWTZ aliyemuua Mkewe na yeye afariki Dunia akipatiwa matibabu

Sidhani Kama ni WIVU wa mapenzi.na hata Kama ni WIVU wa mapenzi sio sababu ya kumchinja binadamu mwenzako Kama kuku
Badala ya kuwaambia watunze papuchi zao kwa ajili ya waume zao unawaambia wasiolewe na makabila flan
 
Dada yangu akija kuolewa na mkurya tamkata masikio bora wanione gaidi haki tena
 
Sasa mwanajeshi unajiuaje kwa wivu!
Mi nilitegemea Hawa jamaa wawe na roho ngumu ya kuvumilia maumivu Kama paka,sasa unajiua Tena?
Unaweza ukatoa kipigo,lakini kuua !Tena mwanamke,mkeo,ungemtsfuta mgoni wako,ukampa kipigo Cha mbwa mwizi,kimya kimya,Kama bokoharam,harafu unaturia.
Apo jamaa aliyekuwa anajipigia mkewe bado anaishi tu fresh
 
Sasa mwanajeshi unajiuaje kwa wivu!
Mi nilitegemea Hawa jamaa wawe na roho ngumu ya kuvumilia maumivu Kama paka,sasa unajiua Tena?
Unaweza ukatoa kipigo,lakini kuua !Tena mwanamke,mkeo,ungemtsfuta mgoni wako,ukampa kipigo Cha mbwa mwizi,kimya kimya,Kama bokoharam,harafu unaturia.
Hujawahi kufikwa na maumivu ya mapenzi wewe.
Hayafananishwi na kufinywa..
Hayafananishwi na kukatwa na panga....
Hayafananishwi na kuchomwa na kitu chenye ncha Kali....
Hayafananishwi na maumivu ya aina yoyote yale...
We siku uachwe tu na umpendaye au umfumanie au mkosee alafu kila unavyoomba msamaha ye yupo kimya ndipo utakapoyaexperience haya maumivu ya kipekee....
Ndipo utakapojua kwanini watu wanafikia hatua ya kuua au kujitoa roho kisa MAPENZI.
OMBA YASIKUKUTE MKUU.....
 
Aisee kwel mapenzi yanaua Commando kashindwa kuvumilia maumivu ya penzi inasikitisha angekua anapulika yasingemkuta haya
 
Komando gani mjingaa anakufa kwa ajili ya mapenzi
Kuweni na Heshima kidogo kwa Marehemu kama GT. Linapofika suala la Mapenzi usihukumu mwenzio kws alichotenda, kikubwa tuombeane heri.
 
Dada zetu muwe mnaangalia na watu wa kuolewa nao kuna makabila sio.
Kule Kigamboni kuna Mchagga kabanika mwili wa mkewe kwa Mkaa gunia 7, Komandoo huyu kaua kwa Kipigo, nani katili zaidi! Tuache kutumia msiba huuu kukashifu wenzetu.
 
Kule Kigamboni kuna Mchagga kabanika mwili wa mkewe kwa Mkaa gunia 7, Komandoo huyu kaua kwa Kipigo, nani katili zaidi! Tuache kutumia msiba huuu kukashifu wenzetu.
kwani mleta mada ametaja kabila kasema waolewe na wachagga? mbona unawashwa washwa wewe
 
Back
Top Bottom