Askari wa JWTZ Atuhumiwa Kwa Mauaji ya Mke Wake wa Ndoa Huku Akijaribu Yeye Mwenyewe Kujiua Bila Mafanikio

Hakuna kubadili ladha pumbavu...... Wanahangaika kisha wanarudi
 
Mkuu achana na hilo Bumunda (Pumbavu) kwani linadhani hadi Mwanaume kufikia Kuchukua hatua hiyo hakuvumilia na hajaumizwa vya Kutosha.

Cc: Mmassy JM

Kunitukana hakuna uwiano na nilochokisema.

Huna sababu ya kunitusi angali sijaandika ubaya wa aina yeyote.
 
Siku ukikuta mkeo anat*mbw* juu ya kitanda chako, chumbani kwenu, nyumbani kwenu ndipo utajua hujui, unadhani ni rahisi kumuua mtu unaempenda, inatokea tu!

Sasa ukishaua unapata faida gani ya kudumu?
 
Duh, alitaka kujiua wakamwokoa halafu atahukumiwa kunyongwa!
 
Duh, alitaka kujiua wakamwokoa halafu atahukumiwa kunyongwa!
Kunyongwa kisheria huja pale mshitakiwa anapokuwa anakataa ukweli na ushahidi unamuhusu kabisa yaani ushahidi inaonyesha wazi kuwa huyu mshitakiwa alitenda kosa ila yeye kazi ni kubadili badili maneno yake katika kujitetea.

Ila akikiri na kutoa maelezo ya tukio analohusishwa nalo huwa adhabu inapungua kutoka kifo kuwa kifungo na anaweza asikae muda mrefu jela.

Refer kesi ya Elizabeth Michael dhidi ya Jamuhuri katika mauwaji ya kanumba. Pale ni wazi Elizabeth Michael angekataa angekutwa na adhabu kali zaidi.
 
Sasa ukishaua unapata faida gani ya kudumu?
Kabla sijakujibu hilo swali hebu nijiridhishe na upeo wako juu ya haya maswala ya usaliti katika mahusiano.

Umeshawahi kuwa na mke unamhudumia kwa upendo na haumletei ujinga halafu unakuja kujua wazi wazi kuwa anamahusiano na mtu nje unamkamata na ushahidi badala ya kujali hisia zako anabakia kusema wewe unakuwa busy hauna muda nae ndio maana kajikuta anafanya hayo mambo.

Umeshawahi kukutana na hiyo hali wewe kama wewe usinambie story za mtu mwingine?!
 
Siku ukikuta mkeo anat*mbw* juu ya kitanda chako, chumbani kwenu, nyumbani kwenu ndipo utajua hujui, unadhani ni rahisi kumuua mtu unaempenda, inatokea tu!
Mbona balozi wetu china anavumilia na ndie mwanamme pekee mwenye kifua nchini. Hapo ndio kipimo cha uanaume. Ukifanyiwa hivyo na wewe tafuta mke mwengine wa Mnyonge umtomb
 
Huyo afwande alishindwa kutumia mbinu za 'kivita' kumkaribisha malaika mtoa roho?
Mzembe sana huyo mabakamabaka!
 
Mara nyingi wachepukaji huwa Wana wivu kupitiliza askari atakuwa naye alikuwa mchepukaji mahiri
Sababu za mwanaume kuchepuka huwa ni tofauti na za mwanamke kuchepuka.
 
Mbona balozi wetu china anavumilia na ndie mwanamme pekee mwenye kifua nchini. Hapo ndio kipimo cha uanaume. Ukifanyiwa hivyo na wewe tafuta mke mwengine wa Mnyonge umtomb
Sifanyi huo ufala. Yule balozi wa china si analipwa. Mimi nikigundua mke wangu ananisaliti na mtu mwenye pesa na huyo mwenye pesa akanipatia pesa wakati anamtumia, kiroho safi nachukua mpunga nafanya mambo yangu.....


Sasa mimi hiyo takataka ya kazi gani napokea mpunga tu safi maisha yaendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…