Askari wa JWTZ kizimbani kwa kukaidi amri halali ya askari wa Usalama Barabarani

Askari wa JWTZ kizimbani kwa kukaidi amri halali ya askari wa Usalama Barabarani

Anaponda kumbe bado analishwa na hao anaowaponda😂😂😂 atakuwa analala sebuleni huyu
Kwanini watu mnakuwaga na akili za hivi ? Sisi hatujaponda ila tumesema ukweli, don't take it personal, mimi nimetimiza wajibu wangu kumuelewesha huyo mjinga kwamba askari wote wana maisha ya kawaida kama watanzania wengine tu hivo asiwaite watumishi wengine takataka kama alivofanya

Sasa kama comment rahisi tu hiyo hamuelewi je mitihani mlifanyaje
 
Anaponda kumbe bado analishwa na hao anaowaponda[emoji23][emoji23][emoji23] atakuwa analala sebuleni huyu
Anaeleza ukweli, JWTZ ni takataka tu. Mishahara mbuzi, kama posho MAJESHI YOTE wanapata Posho, mishahara ya laki 8 na vimilioni kwa maofisa ni utoto tu. TPDC, TRA, LATRA na mashirika kibao, wako mbali sana kwa maslahi bora na maisha bora.
 
Umeelewa kweli nilichoandika ?,walionielewa watakufafanulia comment yangu Mkuu
Kwanini watu mnakuwaga na akili za hivi ? Sisi hatujaponda ila tumesema ukweli, don't take it personal, mimi nimetimiza wajibu wangu kumuelewesha huyo mjinga kwamba askari wote wana maisha ya kawaida kama watanzania wengine tu hivo asiwaite watumishi wengine takataka kama alivofanya

Sasa kama comment rahisi tu hiyo hamuelewi je mitihani mlifanyaje
Kijana Kama kweli bado upo kambini Hadi leo na umezaliwa hapo, Basi ww ni mnufaika wa hao unaowaita washamba, haya makosa ya barabaran yapo tu kila siku na watu wote hufanya sio tu Jwtz soldier, ushamba hutokan na Kazi ya mtu, wakati mwingne ni tabia ya mtu binafsi, unawadharau na wanakulisha? Inasikitisha
 
Anaeleza ukweli, JWTZ ni takataka tu. Mishahara mbuzi, kama posho MAJESHI YOTE wanapata Posho, mishahara ya laki 8 na vimilioni kwa maofisa ni utoto tu. TPDC, TRA, LATRA na mashirika kibao, wako mbali sana kwa maslahi bora na maisha bora.
🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣😂😂😂 Kukopa Sana
 
Kijana Kama kweli bado upo kambini Hadi leo na umezaliwa hapo, Basi ww ni mnufaika wa hao unaowaita washamba, haya makosa ya barabaran yapo tu kila siku na watu wote hufanya sio tu Jwtz soldier, ushamba hutokan na Kazi ya mtu, wakati mwingne ni tabia ya mtu binafsi, unawadharau na wanakulisha? Inasikitisha
Basi nimegundua shida yako, lazima ujue maana ya neno baadhi, nimesema baadhi ya askari ni washamba mfano huyo jamaa

Mimi silishwi na mtu Mkuu
 
Mwanajeshi siyo raia. Sheria za kiraia azimuhusu ingawa baadh ya sheria za kijeshi zinashabihana na za kiraia
  • aaah acha Uongo
  • kama sheria za kiraia hazikuhusu Nenda kawinde Chui mchune ngozi yake, au Ukutwe na nyara ya serikali kinyume Cha sheria i.e unlawful possession of government trophy, uone Kama utapelekwa kwenye Magistrate Court au Military Court, na action there to
 
JWTZ bado baadhi wana ushamba sana, gari lenyewe la miaka ya 90 ndio anafanyia watu dharau

Ulimbukeni tu,haya maisha ukikaa utafakari ndio maana baadhi ya watu hawapewi maisha mazuri, Mungu anajuaga kabisa

Bado ni gari haijalishi mwaka maana kuna wengine hawana kabisa. Japokuwa kwenye hili sitetei alilofanya
 
Bado ni gari haijalishi mwaka maana kuna wengine hawana kabisa. Japokuwa kwenye hili sitetei alilofanya
Sikupingi, hoja yangu ni kwamba, hapa nchini kuna watu wenye pesa na magari ya bei kubwa sana lakini umewahi kuona wamefanya huu upuuzi ?

Nimesema gari ni la zamani sana hilo sababu inaonekana ndio linampa kiburi, kijana ameona kuendesha hilo gari basi yeye ni bora kuliko mtu yeyote, unajua hapo amefanya degrading ? Binadamu unamsukuma na gari !! Huyo polisi ana familia pia

Kuna siku moja upuuzi kama huu kuna askari akafa, alienda kukimbilia roli la jeshi ili adandie kwa nyuma, ile ameruka tu akateleza ,dereva alikuwa anarudi nyuma akamuua,hii tabia ya kucheza na vyombo vya moto sio nzuri ,hapo angemuua mtu kwa sifa
 
Hawa wajamaa bwana sijui ni nini, hata akiwa kwenye shughuli zake binafsi ,lazima kwenye dashboard au kwenye kiti kaweka kofia ya kazini au combat ili kutisha kuto kutii sheria kwa ubabe
Kumezuka mtindo siku hizi hata kwenye traffic light hawasimami
 
Back
Top Bottom