Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Ndio hivo hapo kiburi chake kipo kwenye hiyo gari, akifukuzwa kazi ndio atajuaNa huenda ni ulimbukeni tu, sijui anatokea mkoa gani,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivo hapo kiburi chake kipo kwenye hiyo gari, akifukuzwa kazi ndio atajuaNa huenda ni ulimbukeni tu, sijui anatokea mkoa gani,
Ni mjinga amejiharibiaNdio hivo hapo kiburi chake kipo kwenye hiyo gari, akifukuzwa kazi ndio atajua
Private mfyeka majani, au anayeambiwa chuchumaa au anayeambiwa jimwagie maji na luteni usu au coplo ndo awe na thamani hebu acha kudanganya Raia wewe kijana.Ofisa wa hizo taasisi ni takataka mbele ya hata private tatizo lako unakaza tu ubongo sina maana ya anawazidi mishahara au magari mazuri. fikiria
We jamaa ni Mjinga na usiye na akili kichwani, hawa wakata majani ya ng'ombe na vimishahara vya laki 6 6 6 hivi?Ofisa wa hizo taasisi ni takataka mbele ya hata private tatizo lako unakaza tu ubongo sina maana ya anawazidi mishahara au magari mazuri. fikiria
[emoji23] duuh aiseeHayo maisha mazuri gani wamejaa mikopo tupu kila benki wamekopa mpaka benki ya walemavu, kiujumla ni washamba sana
Angeenda masaa mawili before kama anawahi.kama kuna vita huko anAkokimbilia acheleweshwe kupita na trafiki? askari anaishi uraiani anawahi kambini kwake asimamishwe tena na mtaka hela ya kubrush viatu! vyombo vya dola viheshimiane
Private, corporal, Sargent,staff Sargent, lieutenant, captain, major,L colonel, colonel,... obvious atakua shule hafifu,,huyu ni mpiganaji wa chini kabisa jeshini [emoji137][emoji137][emoji137]Usikute ukoplo wenyewe kaupata juzijuzi tu kaanza kuvimba
Namba A, itakua la urithi wa Baba alikua ni afsa wa jeshiJinga sana hilo jamaa. Hiyo Nissan pia nina hakika ni ya mkopo
Uko sahihi kabisa, wanapewa subsidies katika vifaa vya ujenzi,pombe,magari etc,[emoji137][emoji137]1.polisi wa vyeo vya chini wanakula laki 5 ,kinachosaidia ni ration ,uwe lindo mgodini na vi saccos
2.jwtz pia hawafiki laki 8 ,huku napo vi mikopo au uwe peace keeping missions
3.magereza pia ni kama polisi tu
Vijana stories za jeshini kuna pesa sijui huwa wanatoa wapi, hawana pesa ya kumfanyia mtu madharau
Wewe nawe usiwe mbishi...hayo maisha mazuri wameyatowa wapi?...Kwenye matusi hata huniwezi shosti achana nayo. Ukiambiwa wanajeshi wana maisha mazuri ni lazima walipwe mshahara sawa na makatibu wakuu? Mshahara sio kipimo cha maisha bora
Form 4 uyo amesota miaka 10 ndo kaupata ukoplo mwaka janaPrivate, corporal, Sargent,staff Sargent, lieutenant, captain, major,L colonel, colonel,... obvious atakua shule hafifu,,huyu ni mpiganaji wa chini kabisa jeshini [emoji137][emoji137][emoji137]
Sawa boy kurutae, Lakini ukimalizana na Court of law, itakutana na court martial, drill za kutosha kufyeka barabara ya bagamoyo kutoka ngome Mpaka junction ya kawe [emoji137][emoji137][emoji137] Acha kuchezea jeshi wewe!Elimu ndo upumbavu gani wewe, na elimu yako hiyo hata iwe kubwa vipi ni takataka kwa askari yoyote Tanzania
Usibishane nae,itakua ndiyo yule waliekua amempa lift, maana walikua wawili, mwambie social welfare can't be measured by single factor, it is a set of quality and quantity evaluation of living standard [emoji137][emoji137][emoji137]Kwenye matusi hata huniwezi shosti achana nayo. Ukiambiwa wanajeshi wana maisha mazuri ni lazima walipwe mshahara sawa na makatibu wakuu? Mshahara sio kipimo cha maisha bora
Unajua mshahara ngazi ya ofisa wew kuanzia nyota moja wwKweli wanaodanyanyana ni wale ambao hawana hata member mmoja kwenye familia ambaye mwanajeshi au hajui kabisa maisha yao ,sasa mtu amekaa kotaz ,amezaliwa kotaz jeshini ,anaonana nao kila siku halafu kuna poyoyo anakuja hapa na kudanyanya watu kwamba wana mishahara mikubwa na wanaishi maisha mazuri.
JWTZ ni kazi kama kazi nyingine tu ,no any special coz hao wanajeshi wametoka uraiani na ni ndugu na marafiki zetu ,tunawaona na tunakunywa nao kitaani.
That was my doubt, kwamba mle ndani hakukua na pisi kaiongopea kuwa yeye ndiyo Brigedia jenelali wa brigedi ya Dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilijua tu hiki kiburi kimefanywa na mjeda. Raia wa kawaida hawezi kufanya vile. Alafu alikuwa amebeba dem. Madem huponza
wEwe hujui magari.. kuna gari huwa hazichuji.Unaita watu takataka ? Mimi nimezaliwa jeshini na ninaandika hapa nikiwa kambini, hawana pesa
Angekuwa na pesa asingeendesha hilo li Nissan la miaka ya 90