Askari wa JWTZ kizimbani kwa kukaidi amri halali ya askari wa Usalama Barabarani

Askari wa JWTZ kizimbani kwa kukaidi amri halali ya askari wa Usalama Barabarani

Sasa hiyo immunity anayo mtu mmoja tu[emoji23][emoji23]

Wengine wana baadhi tu tena chache mnoo.
Yaani CAG na kutotenguliwa
Chief judge naye kutotenguliwa.

Sasa hawa wengine dah
Umesahau sheria waliyopitisha awamu ya 5? Alikuwa nayo mtu mmoja ila awamu ya 5 ikaingiza wengine wasishitakiwe nao including PM ,SABUFA etc
 
Huyo jamaa asipoangalia anaweza kupoteza kazi kimchezo mchezo

Halafu miaka 36 coplo ni either muajiriwa wa Juzi juzi au ni mtukutu huko jeshini kwao

Amini nakwambia tabia za kihuni mtu hawi nazo kwa ghafla,huyu hata huko kazini anaonekana ni mtu wa hovyo.asiyeheshimu hata kazi yake.

Maana huwezi kuwa na heshima kwa kazi yako ukadharau kazi ya mwingine.
 
Unaita watu takataka ? Mimi nimezaliwa jeshini na ninaandika hapa nikiwa kambini, hawana pesa

Angekuwa na pesa asingeendesha hilo li Nissan la miaka ya 90
Umezaliwa jeshin, Hadi Leo unaandika hapa upo kambini, bado unawaita washamba na hawana pesa!!?
 
JWTZ bado baadhi wana ushamba sana, gari lenyewe la miaka ya 90 ndio anafanyia watu dharau

Ulimbukeni tu,haya maisha ukikaa utafakari ndio maana baadhi ya watu hawapewi maisha mazuri, Mungu anajuaga kabisa
kama kuna vita huko anAkokimbilia acheleweshwe kupita na trafiki? askari anaishi uraiani anawahi kambini kwake asimamishwe tena na mtaka hela ya kubrush viatu! vyombo vya dola viheshimiane
 
kama kuna vita huko anAkokimbilia acheleweshwe kupita na trafiki? askari anaishi uraiani anawahi kambini kwake asimamishwe tena na mtaka hela ya kubrush viatu! vyombo vya dola viheshimiane
😂Hii comment umeandika ukiwa mzima Mkuu ? ,Vitani anaenda na private tena akiwa na nguo za raia ? Jeshini vita/emergency hutangazwa kwa kulizwa king'ora ndipo askari wote kambini huenda sehemu maalumu ya kukusanyika na kupewa amri,so hapo kama kungekuwa na vita angepata wapi taarifa ? Kukiwa na vita askari hapigiwi simu

Heshima inapewa gari ya jeshi tena iliyowasha silen sio tu kila askari ajiamulie tu atakavyo, kila mkoa una zaidi ya askari elfu moja kila mtu akifanya atakavyo hizo balabala zitapitika ?

Na hata kama angekuwa anaenda vitani angeongea na huyo traffic, huyu askari kafanya utoto na upumbavu
 
Back
Top Bottom