Kuishi vizuri ni hobby? Hebu usiichukulie kimchezo mchezo kitu inaitwa pesa. Bila hiyo kitu hakuna uzuri waka hobbyKakariri mikopo wanayokopa na hela za darfur,isitoshe unaweza kuwa na hela na usiishi vizuri[emoji28]kuishi vizuri ni hobby joh
Umeelewa kweli nilichoandika ?,walionielewa watakufafanulia comment yangu MkuuUmezaliwa jeshin, Hadi Leo unaandika hapa upo kambini, bado unawaita washamba na hawana pesa!!?
Matako yakoMwanajeshi siyo raia. Sheria za kiraia azimuhusu ingawa baadh ya sheria za kijeshi zinashabihana na za kiraia
Hatari SanaSifa nyingiiiii akili ndogo
Kwanini watu mnakuwaga na akili za hivi ? Sisi hatujaponda ila tumesema ukweli, don't take it personal, mimi nimetimiza wajibu wangu kumuelewesha huyo mjinga kwamba askari wote wana maisha ya kawaida kama watanzania wengine tu hivo asiwaite watumishi wengine takataka kama alivofanyaAnaponda kumbe bado analishwa na hao anaowaponda😂😂😂 atakuwa analala sebuleni huyu
Anaeleza ukweli, JWTZ ni takataka tu. Mishahara mbuzi, kama posho MAJESHI YOTE wanapata Posho, mishahara ya laki 8 na vimilioni kwa maofisa ni utoto tu. TPDC, TRA, LATRA na mashirika kibao, wako mbali sana kwa maslahi bora na maisha bora.Anaponda kumbe bado analishwa na hao anaowaponda[emoji23][emoji23][emoji23] atakuwa analala sebuleni huyu
Ungemwambia takataka mamako. Fala sana huyo jamaa.Unaita watu takataka ? Mimi nimezaliwa jeshini na ninaandika hapa nikiwa kambini, hawana pesa
Angekuwa na pesa asingeendesha hilo li Nissan la miaka ya 90
Umeelewa kweli nilichoandika ?,walionielewa watakufafanulia comment yangu Mkuu
Kijana Kama kweli bado upo kambini Hadi leo na umezaliwa hapo, Basi ww ni mnufaika wa hao unaowaita washamba, haya makosa ya barabaran yapo tu kila siku na watu wote hufanya sio tu Jwtz soldier, ushamba hutokan na Kazi ya mtu, wakati mwingne ni tabia ya mtu binafsi, unawadharau na wanakulisha? InasikitishaKwanini watu mnakuwaga na akili za hivi ? Sisi hatujaponda ila tumesema ukweli, don't take it personal, mimi nimetimiza wajibu wangu kumuelewesha huyo mjinga kwamba askari wote wana maisha ya kawaida kama watanzania wengine tu hivo asiwaite watumishi wengine takataka kama alivofanya
Sasa kama comment rahisi tu hiyo hamuelewi je mitihani mlifanyaje
🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣😂😂😂 Kukopa SanaAnaeleza ukweli, JWTZ ni takataka tu. Mishahara mbuzi, kama posho MAJESHI YOTE wanapata Posho, mishahara ya laki 8 na vimilioni kwa maofisa ni utoto tu. TPDC, TRA, LATRA na mashirika kibao, wako mbali sana kwa maslahi bora na maisha bora.
Hawa jamaa baadhi ni mafala sana, baadhi wanabisha ukweli niliosema hapo juu,wanataka kuaminisha watu hapa wao ni bora kuliko watu wengine,wanasahau wengine tupo nao na tunawajua vizuri tuUngemwambia takataka mamako. Fala sana huyo jamaa.
Unawavua NguoHawa jamaa baadhi ni mafala sana, baadhi wanabisha ukweli niliosema hapo juu,wanataka kuaminisha watu hapa wao ni bora kuliko watu wengine,wanasahau wengine tupo nao na tunawajua vizuri tu
Basi nimegundua shida yako, lazima ujue maana ya neno baadhi, nimesema baadhi ya askari ni washamba mfano huyo jamaaKijana Kama kweli bado upo kambini Hadi leo na umezaliwa hapo, Basi ww ni mnufaika wa hao unaowaita washamba, haya makosa ya barabaran yapo tu kila siku na watu wote hufanya sio tu Jwtz soldier, ushamba hutokan na Kazi ya mtu, wakati mwingne ni tabia ya mtu binafsi, unawadharau na wanakulisha? Inasikitisha
- wa kutoshaJWTZ, TCRA, wamejaa nyoka wengi mno
Mwanajeshi siyo raia. Sheria za kiraia azimuhusu ingawa baadh ya sheria za kijeshi zinashabihana na za kiraia
JWTZ bado baadhi wana ushamba sana, gari lenyewe la miaka ya 90 ndio anafanyia watu dharau
Ulimbukeni tu,haya maisha ukikaa utafakari ndio maana baadhi ya watu hawapewi maisha mazuri, Mungu anajuaga kabisa
Sikupingi, hoja yangu ni kwamba, hapa nchini kuna watu wenye pesa na magari ya bei kubwa sana lakini umewahi kuona wamefanya huu upuuzi ?Bado ni gari haijalishi mwaka maana kuna wengine hawana kabisa. Japokuwa kwenye hili sitetei alilofanya
Kumezuka mtindo siku hizi hata kwenye traffic light hawasimamiHawa wajamaa bwana sijui ni nini, hata akiwa kwenye shughuli zake binafsi ,lazima kwenye dashboard au kwenye kiti kaweka kofia ya kazini au combat ili kutisha kuto kutii sheria kwa ubabe
Na huenda ni ulimbukeni tu, sijui anatokea mkoa gani,Nimesema gari ni la zamani sana hilo sababu inaonekana ndio linampa kiburi, kijana ameona kuendesha hilo gari basi yeye ni bora kuliko mtu yeyote, unajua hapo amefanya degrading ?