Askari wa JWTZ kizimbani kwa kukaidi amri halali ya askari wa Usalama Barabarani

Unaongelea jeshi la nchi gani?
Tumekaa jeshini na hata sasa tunaishi nao.
Ni mafukara wakubwa tu.
Baadhi ya maafisa ndio kidogo wanazo.

CPL ndio kabisaa hamna kitu
 
Huu mjadala umeuanzia katikati kama ungeuanza mwanzoni kabisa ungeelewa,aliyesababisha yote hayo ni huyo @loftin aliyewaita watumishi wote takataka mbele ya jwtz
 
Hayo maisha mazuri gani wamejaa mikopo tupu kila benki wamekopa mpaka benki ya walemavu, kiujumla ni washamba sana

Sio vema kutoa hizi lugha. Tuwape staha zao kama askari wetu.

Kutoa lugha za shutuma dhidi ya kundi fulani bila kujali uhalali wa hoja sio sawa.
 

Hayo ni makundi ya kipaumbele mzee. Polisi wenyewe hawazingatii hizo taratibu unazosema.

Viongozi wetu ndo usiseme kabisa.

Askari wamejengewa kuwa in hurry muda wote, wewe unaweza ona hawaendi vitani lkn uwepo wake sehemu kwa wakati inamaana kubwa sana.

Hii awe kiraia ama kiofisi. Ili mradi wanazingatia tahadhari zote.
 
Officer nyota moja mshahara wake ni 1.4mil tu hakuna maajabu hapo. anachotakiwa kufahamu mishahara yote ya serikali iko sawa haitofautiani,kinachowapo favour hao jamaa ni marupurupu,vinywaji na vifaa vya ujenzi Bei zao ni rahisi tofauti na uku mtaani
Hivi Magu siajifuta hii, imesharudi tuanze kwenda maduka ya jeshi?
 


Haya ni Maisha ya kimazoea Tu sio Maisha ya kisheria

Ni kama kumpisha mzee kwenye kiti, sio lazima ni hiari yako tu

Mwanajeshi anatoka kazini anawahi kuangalia mpira uwanja wa taifa nayo anapita kwenye Red light?



 
wEwe hujui magari.. kuna gari huwa hazichuji.
1.Nissan patrol
2. Land cruiser
3.Land rover..

Hizo taka taka nyingine unazozifikiria wewe zipumzishe kwanza..
Sisi hapa hatuzungumzii kuchuja kwa gari , Nissan patrol ya mwaka 90 sio ya kuletea kiburi watu barabarani

Land Rover hata mimi ninalo na maisha yangu ya kuunga unga sio gari ya kuvimbia hiyo
 
Safi sana, asulibishwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…