Askari wa JWTZ kizimbani kwa kukaidi amri halali ya askari wa Usalama Barabarani

Askari wa JWTZ kizimbani kwa kukaidi amri halali ya askari wa Usalama Barabarani

Elimu yake na huyo trafiki haiwezi kutofautiana; pia wote malimbukeni.

Alisimamishwa kwa kuwa hakuwa kavaa sare za jeshi.

Hata kama angevaa sare, pale ni kivuko cha watembea Kwa miguu

Kwani ukavaa sare ndio uko juu ya sheria?

Ni utamaduni Tu umejengeka but ni Jambo la kishamba,

Kuna siku niliona wanajeshi wanamsukuma traffic pale ubungo mataa ili wao wapite

Tena wanapita kwenda home sio vitani
 
Kweli Wana maisha mazuri lakin sio kuliko watumishi wote (wewe umewaita takataka,),nimesema watumishi kwakua nao ni watumishi wa umma sio wafanyabiashara
Kaka unafikiri natania? Unazijua ajira ambazo ukimaliza kidato cha nne kuna uwezekano wa kuzipata? Unazijua ajira ambazo ukimaliza kidato cha sita unaweza kuzipata? Unazijua ajira ambazo ukimaliza degree, masters, n.k unaweza kuzipata? Basi hao wote ni takataka kwa wanajeshi ukiwa tu unafikiria sawasawa
 
Wanajeshi wana maisha mazuri kuliko takataka yoyote Tanzania. Tatizo linakuja unavyoyatazama wewe
Hii mbuzi inaongea nini? Unayajua maisha mazuri wewe? Maisha mazuri ya kunyenyekea kama mtoto?

Ila kwa kuwa unalinganisha Wanajeshi/ Askari na takataka siyo tatizo!! Kwa level ya takataka za jalalani/ yaani uchafu / Uozo, kwa hapa wanajeshi/askari wanazidi kidogo sana takataka, maana karibia wafanane na huo uozo tu!!


Ila kama unalinganisha Wanajeshi na raia wengine wa Tanzania, wamepitwa mbali sana. Sina uhakika kama kuna mwanajeshi anapokea 10M, wakati wapo watanzania wengi tu hiyo ni hela ya andazi asubuhi,

Sijui unapozungumzia kuliko yoyote unamlinganisha na nani!!?

Mbuzi tu, kapige kwata huko, kujitutumua tu wakati mnanuka mikopo mitupu!!
 
Hii mbuzi inaongea nini? Unayajua maisha mazuri wewe? Maisha mazuri ya kunyenyekea kama mtoto? Sina uhakika kama kuna mwanajeshi anapokea 10M, wakati wapo watanzania wengi tu hiyo ni hela ya andazi asubuhi,

Sijui unapozungumzia kuliko yoyote unamlinganisha na nani!!?

Mbuzi tu, kapige kwata huko, kujitutumua tu wakati mnanuka mikopo mitupu!!
Kwenye matusi hata huniwezi shosti achana nayo. Ukiambiwa wanajeshi wana maisha mazuri ni lazima walipwe mshahara sawa na makatibu wakuu? Mshahara sio kipimo cha maisha bora
 
Ni utamaduni Tu umejengeka but ni Jambo la kishamba,
Ndio maana nikasema angevaa sare asingesimamishwa. Magari yanayoongoza kwa kuvunja sheria za usalama barabarani ni magari ya serikali.

Askari wa usalama barabarani hawawezi kukwepa lawama kwa huo utamaduni wa hovyo uliojengeka.
 
Maisha gani mazuri!!ya kawaida sana,
Hivyo vimikopo ndio vinawavimbisha vichwa?
Huwezi kuwalinganisha na wahandisi vijana waliopo UN,USAID,migodini,hata pale Helios tower,Kuna watu wanavuta mpunga mrefu kuliko hata wabunge,
Niambie mjeda gani anavuta 50Milioni kwa mwezi?mgodini wapo kibao Tena vijana tu.
Yani kulipwa milioni 50 ndio kipimo cha maisha mazuri? Mikopo ni kila kitu hata huyo anayelipwa hiyo pesa ana mikopo kibao.

Narudia tena hakuna takataka ina maisha mazuri Tanzania kumzidi mwanajeshi
 
Maisha gani mazuri!!ya kawaida sana,
Hivyo vimikopo ndio vinawavimbisha vichwa?
Huwezi kuwalinganisha na wahandisi vijana waliopo UN,USAID,migodini,hata pale Helios tower,Kuna watu wanavuta mpunga mrefu kuliko hata wabunge,
Niambie mjeda gani anavuta 50Milioni kwa mwezi?mgodini wapo kibao Tena vijana tu.
Mpuuze tu
 
Jwtz bado baadhi wana ushamba sana, gari lenyewe la miaka ya 90 ndio anafanyia watu dharau

Ulimbukeni tu,haya maisha ukikaa utafakari ndio maana baadhi ya watu hawapewi maisha mazuri, Mungu anajuaga kabisa
Hawa JWTZ ni wapuuzi sana, huwa wanajifanya wako juu ya sheria san katika watu nawachukia ni hawa jamaa
 
Back
Top Bottom