MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Kuna mmoja nilitishia kumshitaki kwa ma MP ndoo akanilipaHayo maisha mazuri gani wamejaa mikopo tupu kila benki wamekopa mpaka benki ya walemavu, kiujumla ni washamba sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mmoja nilitishia kumshitaki kwa ma MP ndoo akanilipaHayo maisha mazuri gani wamejaa mikopo tupu kila benki wamekopa mpaka benki ya walemavu, kiujumla ni washamba sana
Mimi siko huko jeshini kaka. Elimu ya Tanzania kwa kiwango kikubwa ni takataka kwa sababu nimeajiri watu wawili wana elimu kubwa kunizidi hawa kikawaida walipaswa kuwa level za mishahara nayotajiwa hapa ya 50mElimu inakuwaje takataka? Kama utakuwa jeshini basi mwenyezi Mungu atusaidie.
Askari wengi sana wa majeshi yote Tanzania ndio tabia zao hizo kuleteana ubabe tena kama angekua ni raia hapo angepigwa na makofi na kusingekua na hatua zozote zinge chukuliwa
Sasa matusi utayaweza au una-test zali?Huna akili
Asante sana kaka etu Basi Nenda Kwa kuwatoa tongo tongo vijana....1.polisi wa vyeo vya chini wanakula laki 5 ,kinachosaidia ni ration ,uwe lindo mgodini na vi saccos
2.jwtz pia hawafiki laki 8 ,huku napo vi mikopo au uwe peace keeping missions
3.magereza pia ni kama polisi tu
Vijana stories za jeshini kuna pesa sijui huwa wanatoa wapi, hawana pesa ya kumfanyia mtu madharau
Ndio, kuna kingine kaka?Maisha mazuri yapi? Ya kuweza kubadili milo?
Hakuna kitu hapo wan mishahara ya kawaida Sana na wana maisha ya kawaida Sana ya mtanzania wa kipato Cha kati,sijawahi ona mwanajeshi tajiri Tanzania 😅na wana elimu ndogo pia wengi wao ,so bloo kajipange,btw mimi ni madam sio kaka 😅Kaka unafikiri natania? Unazijua ajira ambazo ukimaliza kidato cha nne kuna uwezekano wa kuzipata? Unazijua ajira ambazo ukimaliza kidato cha sita unaweza kuzipata? Unazijua ajira ambazo ukimaliza degree, masters, n.k unaweza kuzipata? Basi hao wote ni takataka kwa wanajeshi ukiwa tu unafikiria sawasawa
Kukopa ni ushamba?Hayo maisha mazuri gani wamejaa mikopo tupu kila benki wamekopa mpaka benki ya walemavu, kiujumla ni washamba sana
Inaonekana unaishi kambini au pembezoni mwa kambi. Huna exposure na hujawahi kutembea sehemu mbali mbali otherwise usingeandika hicho ulichoandikaWanajeshi wana maisha mazuri kuliko takataka yoyote Tanzania. Tatizo linakuja unavyoyatazama wewe
Kaka unafikiri natania? Unazijua ajira ambazo ukimaliza kidato cha nne kuna uwezekano wa kuzipata? Unazijua ajira ambazo ukimaliza kidato cha sita unaweza kuzipata? Unazijua ajira ambazo ukimaliza degree, masters, n.k unaweza kuzipata? Basi hao wote ni takataka kwa wanajeshi ukiwa tu unafikiria sawasawa
Jwtz bado baadhi wana ushamba sana, gari lenyewe la miaka ya 90 ndio anafanyia watu dharau
Ulimbukeni tu,haya maisha ukikaa utafakari ndio maana baadhi ya watu hawapewi maisha mazuri, Mungu anajuaga kabisa
Ok una hasira kuzidiwa elimu kumbe,kusoma Sana ni uamuzi wa mtu,so wewe kumuajiri alokuzidi elimu haikufanyi bora,umemzid visent ukamwajiri na yeye kakuzid elimu,ngoma droo.Mimi siko huko jeshini kaka. Elimu ya Tanzania kwa kiwango kikubwa ni takataka kwa sababu nimeajiri watu wawili wana elimu kubwa kunizidi hawa kikawaida walipaswa kuwa level za mishahara nayotajiwa hapa ya 50m
Elimu zote unazozijua wewe ziko jeshini, unadhani kuna kiwango cha mshahara hakitakuwepo?Hakuna kitu hapo wan mishahara ya kawaida Sana na wana maisha ya kawaida Sana ya mtanzania wa kipato Cha kati,sijawahi ona mwanajeshi tajiri Tanzania 😅na wana elimu ndogo pia wengi wao ,so bloo kajipange,btw mimi ni madam sio kaka 😅
Dah! We sokwe mtu ni watumishi wangapi wanafanya hivi? Madaktari hawavalishi kiti clinical cot zao? Wahandisi wa ujenzi?Bado ushamba haujawatoka ,hasahasa hawa ambao hawana vyeo ,utakuta kwenye "Vibakuli" vyao kwenye dashboard ameweka kofia ya jeshi au kwenye kiti amevalisha kombati lake la jeshi yaani ujinga ujinga.
Elimu zao zimewasaidia nini? Wao wana elimu kubwa yangu ndogo ila ninabadilisha mboga. Alafu siwadhalilishi nawaheshimu sanaOk una hasira kuzidiwa elimu kumbe,kusoma Sana ni uamuzi wa mtu,so wewe kumuajiri alokuzidi elimu haikufanyi bora,umemzid visent ukamwajiri na yeye kakuzid elimu,ngoma droo.
Eti vibakuri😂, upo sahihi kabisa Mkuu, askari anayejielewa hana muda wa show off kabisa, ila hawa washamba ndio wanasumbuaBado ushamba haujawatoka ,hasahasa hawa ambao hawana vyeo ,utakuta kwenye "Vibakuli" vyao kwenye dashboard ameweka kofia ya jeshi au kwenye kiti amevalisha kombati lake la jeshi yaani ujinga ujinga.
JWTZ ambaye ameenda shule huwa na nidhamu sana ,hawana mambo ya kijinga na mara nyingi hata hawataki watu wajue kama ni JWTZ ila hawa ambao "makuruti" wana mwembwe sana ,fujo nyingi ili mradi ujue kama yeye ni Mwanajeshi.
Kuna Mjeshi mmoja alikuwa ndani ya kibakuli akawa analeta mwembwe kwa dereva wa bodaboda ambaye alikuwa amempakiza mother mmoja hivi ,alivyoenda mbele akataka kumzingua yule bodaboda kisa ni JWTZ ,yule mother aliyebebwa alishuka akampiga bonge la biti ,akamwambia aache ujinga atamfukuzisha kazi mara moja na akamchana aache ushamba wa kuweka makoti kwenye viti vya gari ili kutisha raia(inaonekana yule mother ni kama mtu wa system ,msoja kumsoma yule mother ikabidi atulie mwenyewe) ,akamwambia ushwahi kumuona mwamnyange ameweka shati kwenye kiti cha gari? JWTZ alinywea mwenyewe!
Aisee kuna jamaa wengi baada ya kupata elimu ya kutosha na kukitambua ...wameacha hizo kazi za wenyewe..mwanaume asifiwi kazi anasifiwa pesa.Elimu ndo upumbavu gani wewe, na elimu yako hiyo hata iwe kubwa vipi ni takataka kwa askari yoyote Tanzania