Askari wa JWTZ kizimbani kwa kukaidi amri halali ya askari wa Usalama Barabarani

Acha maneno yako tumekulia katika kambi za jeshi wazazi wetu wapo uko tunayajua yote hayo jeshini hakuna pesa yoyote ya maana.
Usione wamevaa kombati zao za mabaka mabaka ukatishika kule kuna wacheza ngoma,vinyozi,fundi cherehani,fundi garage,sekretari,wafanya usafi wa mwagilia bustani,Dr, engineer nk.
Mishahara ya kawaida sana jeshini wazazi wetu wamestaafu na madeni +visukari.

Kitu pekee cha kujivunia jeshi ni lile gwanda tu ukilivaa tena utajivunia kwa washamba sio kwa waelewa
Natamani kuandika maneno magumu sana ila hapa sio twitter! Ni hivi mzazi wako alikuwa mgambo sio mwanajeshi. Vipi alifanikiwa kujenga hata kajumba akiwa kazini?
 
Acha maneno yako tumekulia katika kambi za jeshi wazazi wetu wapo uko tunayajua yote hayo jeshini hakuna pesa yoyote ya maana.
Usione wamevaa kombati zao za mabaka mabaka ukatishika kule kuna wacheza ngoma,vinyozi,fundi cherehani,fundi garage,sekretari,wafanya usafi wa mwagilia bustani,Dr, engineer nk.
Mishahara ya kawaida sana jeshini wazazi wetu wamestaafu na madeni +visukari
Mwambie huyo dogo aelewe, wazee wetu wanazeeka na presha licha ya kuwa na vyeo vikubwa huko lakini hawana pesa hiyo ya maana inayoandikwa humu

Sisi tuliokulia huko jeshini ndio tunajua ukweli,hawa raia wanadanganyana sana huku, kazi ya jeshi sio ya kutajirika ama kuishi vizuri bali kuishi maisha ya kawaida tu

Japo siku hizi vijana wanajiongeza, kuna jamaa yangu anamiliki cruiser mbili ni kijana tu, mwingine tulikuwa naye kota sasa ni marehemu alikuwa anaiba mafuta ya jeshi na anauza mpaka gongo
 
Acha maneno yako tumekulia katika kambi za jeshi wazazi wetu wapo uko tunayajua yote hayo jeshini hakuna pesa yoyote ya maana.
Usione wamevaa kombati zao za mabaka mabaka ukatishika kule kuna wacheza ngoma,vinyozi,fundi cherehani,fundi garage,sekretari,wafanya usafi wa mwagilia bustani,Dr, engineer nk.
Mishahara ya kawaida sana jeshini wazazi wetu wamestaafu na madeni +visukari.

Kitu pekee cha kujivunia jeshi ni lile gwanda tu ukilivaa tena utajivunia kwa washamba sio kwa waelewa
Huyo ni mjinga anahitaji aelimishwe ,mwambie aende kambi ya Lugalo aone mabweni wanayokaa wanajeshi wapya yaani ni aibu ,mikojo hadi kwenye floor ,masinki hadi yamekuwa ya njano yaani tabu tupu ,hawa jamaa kinachowatoa ni mikopo na kweli wana access ya mikopo sana na pia ukiwa na elimu ukaingia TISS ndiyo unapata safari nyingi na kwenda kwenye taasisi hizi kubwa kubwa eg TRA ,TCRA ,Bandarini ,TPDC etc
 
Sheria za barabarani zinavunjwa sana siku hizi na magari ya SU, STK..., na DFP etc

Kuna magari yanalazimisha kupita hata taa nyekundu zinawaka. Hizo haraka za wapi? Zimeanza lini?
 
  • sio kweli, ww ndiye takataka usiye heshimu kada nyingine,
  • hivi unajua vipato vya Watu wa kada nyingine? Unaweza kukuta haki ka kipato chako Kwa wengine ni Posho ya mafuta ya wiki.
Akiitwa mwanajeshi na hizo kada zenye mishahara mikubwa kwenye hafla yoyote nani anakaa hightable? Na unadhani ni protocol tu ile?
 
Kaka unafikiri natania? Unazijua ajira ambazo ukimaliza kidato cha nne kuna uwezekano wa kuzipata? Unazijua ajira ambazo ukimaliza kidato cha sita unaweza kuzipata? Unazijua ajira ambazo ukimaliza degree, masters, n.k unaweza kuzipata? Basi hao wote ni takataka kwa wanajeshi ukiwa tu unafikiria sawasawa
- takataka ni nyie ambao mna D 2 tu, unajilinganisha na ofisa wa eGA,TCRA,EWURA,LATRA ? Ww na D Zako mbili za civics na kiswahili
 
Mwambie huyo dogo aelewe, wazee wetu wanazeeka na presha licha ya kuwa na vyeo vikubwa huko lakini hawana pesa hiyo ya maana inayoandikwa humu

Sisi tuliokulia huko jeshini ndio tunajua ukweli,hawa raia wanadanganyana sana huku, kazi ya jeshi sio ya kutajirika ama kuishi vizuri bali kuishi maisha ya kawaida tu

Japo siku hizi vijana wanajiongeza, kuna jamaa yangu anamiliki cruiser mbili ni kijana tu, mwingine tulikuwa naye kota sasa ni marehemu alikuwa anaiba mafuta ya jeshi na anauza mpaka gongo

Kweli wanaodanyanyana ni wale ambao hawana hata member mmoja kwenye familia ambaye mwanajeshi au hajui kabisa maisha yao ,sasa mtu amekaa kotaz ,amezaliwa kotaz jeshini ,anaonana nao kila siku halafu kuna poyoyo anakuja hapa na kudanyanya watu kwamba wana mishahara mikubwa na wanaishi maisha mazuri.

JWTZ ni kazi kama kazi nyingine tu ,no any special coz hao wanajeshi wametoka uraiani na ni ndugu na marafiki zetu ,tunawaona na tunakunywa nao kitaani.
 
Back
Top Bottom