Askari wa JWTZ kizimbani kwa kukaidi amri halali ya askari wa Usalama Barabarani

Askari wa JWTZ kizimbani kwa kukaidi amri halali ya askari wa Usalama Barabarani

Hata kama angevaa sare, pale ni kivuko cha watembea Kwa miguu

Kwani ukavaa sare ndio uko juu ya sheria?

Ni utamaduni Tu umejengeka but ni Jambo la kishamba,

Kuna siku niliona wanajeshi wanamsukuma traffic pale ubungo mataa ili wao wapite

Tena wanapita kwenda home sio vitani
ukitaka kuamini mahasikali walivio malimbukeni sio polisi wa jwt wala magereza hata migambo nenda makongo au kawe ukaone walivio washamba
 
Kweli wanaodanyanyana ni wale ambao hawana hata member mmoja kwenye familia ambaye mwanajeshi au hajui kabisa maisha yao ,sasa mtu amekaa kotaz ,amezaliwa kotaz jeshini ,anaonana nao kila siku halafu kuna poyoyo anakuja hapa na kudanyanya watu kwamba wana mishahara mikubwa na wanaishi maisha mazuri.

JWTZ ni kazi kama kazi nyingine tu ,no any special coz hao wanajeshi wametoka uraiani na ni ndugu na marafiki zetu ,tunawaona na tunakunywa nao kitaani.
mmh hawa jamaa hasa wa vyeo vya chini nahisi mshahara sio mkubwa kivile maana kuna mmoja hata nguo kubadilisha ni nadraa. wenye nyota au maofficer hupewa magari.
 
Kaka unafikiri natania? Unazijua ajira ambazo ukimaliza kidato cha nne kuna uwezekano wa kuzipata? Unazijua ajira ambazo ukimaliza kidato cha sita unaweza kuzipata? Unazijua ajira ambazo ukimaliza degree, masters, n.k unaweza kuzipata? Basi hao wote ni takataka kwa wanajeshi ukiwa tu unafikiria sawasawa
hao wana jeshi wananini bhana tukonao kawe makongo mbweni goba mbona maisha yao duni tu humo kambini kwao kujikuza tu hawana lolote afadhari magereza wanaheshimu watu polisi jwt hawote wakisha vaa magwanda tu wanajio miungu watu
 
hao wana jeshi wananini bhana tukonao kawe makongo mbweni goba mbona maisha yao duni tu humo kambini kwao kujikuza tu hawana lolote afadhari magereza wanaheshimu watu polisi jwt hawote wakisha vaa magwanda tu wanajio miungu watu
Hizo sehemu ulizotaja zote unaishi wewe mtu mmoja?
 
Huyo ni mjinga anahitaji aelimishwe ,mwambie aende kambi ya Lugalo aone mabweni wanayokaa wanajeshi wapya yaani ni aibu ,mikojo hadi kwenye floor ,masinki hadi yamekuwa ya njano yaani tabu tupu ,hawa jamaa kinachowatoa ni mikopo na kweli wana access ya mikopo sana na pia ukiwa na elimu ukaingia TISS ndiyo unapata safari nyingi na kwenda kwenye taasisi hizi kubwa kubwa eg TRA ,TCRA ,Bandarini ,TPDC etc
Hayo majengo yenyewe wameanza kuboreshewa sasa hivi, hapo lugalo kuanzia 2014 kushuka chini walikuwa wanakaa kwenye vibanda chakavu vya mabati ukienda maliwatoni unakuta bonge la hall wote mnaingia mnaoga uku mnaonana tupu zenu.

Nyumba zenye uafadhali ambazo walikuwa wanakaa wakubwa zipo mkabala na makongo na kule kambi ya chui tena nyumba zenyewe ni choka mbaya.

Siwezi kulidharau jeshi letu naliheshimu sana ila uyo jamaa amesababisha tuandike yote mpaka tunaonekana tunalidharau jeshi
 
Ofisa wa hizo taasisi ni takataka mbele ya hata private tatizo lako unakaza tu ubongo sina maana ya anawazidi mishahara au magari mazuri. fikiria
  • huyo private wa Jeshi ana kitu gani Cha Maana kulinganisha na mabosi wa eGA TCRA, EWURA, LATRA, TRA? Ana IQ kubwa au anatumia nguvu nyingi badala ya akili nyingi kwenye kufanya mambo?
  • hebu tuambie kitu Gani Cha Maana kinachomfanya Private ambaye ni form four failure (most of them) kumzidi hadhi mabosi na maofisa wa EWURA, LATRA, eGA, TCRA?
  • hivi unajua salary na allowance za hao maofisa niliokutajia wanaweza kuwalipa private hata 5 ? That is Salary scale ya ofisa mmoja wa EWURA anaweza kuwalipa private 5?
 
Mwanajeshi anaweza kuwa boss wa hizo taasisi ila huyo wa hizo taasisi hawezi kuwa mwanajeshi THINK
- huyo mwanajeshi ambaye anaweza akawa boss kwenye hizo taasisi unadhani ni mjinga kama ww? Ni mwanajeshi Msomi na mwenye Cheo Cha juu maybe brigedia,meja jenerali nk, ambao kimsingi ni maofisa wa Jeshi wenye nidhamu na utii na wako matured hawana mambo ya kijinga kijinga na wewe private wa Form4?
 
Askari wa jwtz huwa hawana elimu ya kutosha kuhusu sheria, ndo maana wengi huwa wanavunja sheria kwa kuamini anacho fanya ni sahihi ila ukiwabananisha huwa wanakua wapole sana, maana hata jeshi lenyewe huwa linamkataa linamuacha apambane na kesi yake kwanza

Ndo maana huwa wanashambulia raia bila kujua hawana mamlaka hayo na kumshambulia mtu yeyote ni uvunjifu wa Sheria kuna mmoja alimshambulia ndugu yangu kisa kavaa kombat kama ile ya jeshi la Russia kiuhalisia haifanani hata kidogo na Kombat ya jeshi la Tz na zinauzwa madukani, baada ya kumshambulia ndugu yangu, jamaa akakariri number tu ya yule askari akaenda kufungua kesi kupitia namba ya yule Askari kilichofata huko mbele ni kuombana msamaha na kulipana fidia ili kesi iishe

Hao Jamaa inabidi waendelee kupewa elimu zaid
Kulikuwa hakuna haja ya huyo jamaa yako kwenda mahakamani kufungua kesi.angeenda moja kwa moja kambini kwao kushtaki hakika angeisoma namba angekuheshimu mpaka kufa
 
Kati ya sehemu wanafundisha nidhamu ni jeshini, nashangaa askari uliyefunzwa unashindwa kutii sheria ndogo kama hizo za barabarani, hii inahitaji akili gani? kama unanidhamu utashindwa vipi kuheshimu kazi ya mtu.

Jeshi halihusiki na utovu wa nidhamu unaofanywa na watumishi wake, mtumishi akideviate uraiani atashughulikiwa na mahakama za kiraia.
 
Hakuna kitu hapo wan mishahara ya kawaida Sana na wana maisha ya kawaida Sana ya mtanzania wa kipato Cha kati,sijawahi ona mwanajeshi tajiri Tanzania 😅na wana elimu ndogo pia wengi wao ,so bloo kajipange,btw mimi ni madam sio kaka 😅
Kuna mjeshi nimesoma nae yuko hapo chalinze ana nyumba ya slope..na anaendaga sana congo...unaielewa slope? Ni zile nyumba ambazo haina haja ya ramani...unajenga tu mradi upate chumba na korido kama jengo la shule🚮
 
Mimi siko huko jeshini kaka. Elimu ya Tanzania kwa kiwango kikubwa ni takataka kwa sababu nimeajiri watu wawili wana elimu kubwa kunizidi hawa kikawaida walipaswa kuwa level za mishahara nayotajiwa hapa ya 50m
Kumbe we tatizo elimu ndo maana unaongea utumbo, jitahidi uwapeleke watoto wako shule, ukiwa na hela bila elimu kuna vitu vinapungua
 
Back
Top Bottom