Askari wa JWTZ kizimbani kwa kukaidi amri halali ya askari wa Usalama Barabarani

Askari wa JWTZ kizimbani kwa kukaidi amri halali ya askari wa Usalama Barabarani

Kuna mjeshi nimesoma nae yuko hapo chalinze ana nyumba ya slope..na anaendaga sana congo...unaielewa slope? Ni zile nyumba ambazo haina haja ya ramani...unajenga tu mradi upate chumba na korido kama jengo la shuleđźš®
Huwezi jua anajipanga vipi, Watu wana akili na malengo tofauti, Kuna mtu ana millions za pesa anaendesha escudo old model plate number A.
 
Kweli wanaodanyanyana ni wale ambao hawana hata member mmoja kwenye familia ambaye mwanajeshi au hajui kabisa maisha yao ,sasa mtu amekaa kotaz ,amezaliwa kotaz jeshini ,anaonana nao kila siku halafu kuna poyoyo anakuja hapa na kudanyanya watu kwamba wana mishahara mikubwa na wanaishi maisha mazuri.

JWTZ ni kazi kama kazi nyingine tu ,no any special coz hao wanajeshi wametoka uraiani na ni ndugu na marafiki zetu ,tunawaona na tunakunywa nao kitaani.
Kabisa Mkuu, wazazi baadhi ndio maana hawataki watoto wabaki jeshini
 
1.polisi wa vyeo vya chini wanakula laki 5 ,kinachosaidia ni ration ,uwe lindo mgodini na vi saccos
2.jwtz pia hawafiki laki 8 ,huku napo vi mikopo au uwe peace keeping missions
3.magereza pia ni kama polisi tu

Vijana stories za jeshini kuna pesa sijui huwa wanatoa wapi, hawana pesa ya kumfanyia mtu madharau
Wao hawaringii pesa ,Bali mabavu Yao Kila mtu anaringia chake
 
Natamani kuandika maneno magumu sana ila hapa sio twitter! Ni hivi mzazi wako alikuwa mgambo sio mwanajeshi. Vipi alifanikiwa kujenga hata kajumba akiwa kazini?
Kwani wewe unasemea wanajeshi wa wapi mkuu..? Wanajeshi wana maisha ya kimaskini kabisa sema zinawabeba hizo ration...wanajeshi wanakaa kwenye slope..na wamejenga changanyikeni 20*20!akijitahid sana atamiliki crown
 
Tunaongelea maisha ya wajeda kuwa ni ya kawaida mkuu rudi kwenye main point
Kila mtu ana maana yake ya kuwa na mafanikio, mmoja akipata baiskeli ni ndoto imetimia mwingine anawaza siku moja awe na G Wagon, success means to get something you hoped for, tupo tofauti each person has a different perspective and their own definition for satisfaction..
 
Kaka unafikiri natania? Unazijua ajira ambazo ukimaliza kidato cha nne kuna uwezekano wa kuzipata? Unazijua ajira ambazo ukimaliza kidato cha sita unaweza kuzipata? Unazijua ajira ambazo ukimaliza degree, masters, n.k unaweza kuzipata? Basi hao wote ni takataka kwa wanajeshi ukiwa tu unafikiria sawasawa
We jamaa huna akili
 
Hata kama angevaa sare, pale ni kivuko cha watembea Kwa miguu

Kwani ukavaa sare ndio uko juu ya sheria?

Ni utamaduni Tu umejengeka but ni Jambo la kishamba,

Kuna siku niliona wanajeshi wanamsukuma traffic pale ubungo mataa ili wao wapite

Tena wanapita kwenda home sio vitani
Na ushamba huo kamwe huwezi kumkuta unafanywa na mwanajeshi mwenye cheo kuanzia nyota moja!!ni hao wenye elimu ndogo ndogo,ndio wenye ushamba huo.
 
Mkose huyo mlinzi uone moto
wote tuna tegemeana hata mimi raiya nibora kwa sababu na vuja jasho hili huyo mlinzi alipwe mshahara wake kwa nn ajione bora kuliko wenzie? mala awataki kulipa sh 500 ya daladala mwenge kariakoo

mala wakikopa bazaa madukani hawataki kulipa mala wanataka waogopwe na watu mitaani huo ni ushamba tu na ulimbukeni

anaenda likizo dar msoma na magwanda yake na mzigo wa viatu miguuni afika tarime kijijini msibani harusini yeye na kaki tu mala avute banghe hadharani mbona hayo makaki mazito pia yana joto mna mbona kuvaa mguo za nyumbani ukiwa likizo ni raha sana na kujishusha kwa wana kijiji ulionea kuwatembelea lakini sio wote wapo wachache sana wasio fanya hivio
 
Natamani kuandika maneno magumu sana ila hapa sio twitter! Ni hivi mzazi wako alikuwa mgambo sio mwanajeshi. Vipi alifanikiwa kujenga hata kajumba akiwa kazini?
Bro labda tu nikuweke wazi
Ukweli ni kuwa kazi za majeshi unapozianza miaka mi 3-5 ya mwanzo watu huwa wanajivunia sana hizo kazi, ila kwa wenye malengo na maisha yao huwa wanakuja kugundua hizo kazi ni ngumu sana na malipo ni kidogo, ndipo wengine huwa wanaamua kujiendeleza kielimu ili angalau wapate cheo ili awe na hafahali kidogo aepuke kazi ngumu na malipo kidogo na wengine huwa wanaamua kuacha kazi kabisa baada ya kujiendeleza kielimu

Jeshini ukiwa na cheo kidogo ndo kazi zinakua nyingi na malipo yanakua kidogo, angalau mwenye cheo kikubwa yeye kazi zake zinakua kidogo na malipo yanakua mazuri.

Ukiwa Askari serekali inakufanya kama mtoto inakujaza sifa nyingi ila malipo Ni kidogo, hizo sifa ni kama vile ukienda bank usipange foleni, ukipanda usafiri wa umma usilipe nauli, inakupa posho kwaajili ya pombe ila kama unaakili timamu hayo yote hayakunufaishi chochote katika kujijenga kiuchumi, watoto wako watasoma shule za kawaida sana, na wewe utaishi nyumba ya kawaida tu ukijitahidi sana utanunua na ka IST ila bahati mbaya huwezikulalamikia kuhusu maslahi yako Unaambiwa Askari anatakiwa atii amri tu na kosa la kukataa amri ni kufukuzwa kazi.

kwahiyo nje ya majeshi wapo watu wengi tu wanafanya kazi serekalini na Wana maslahi makubwa sana kuliko maaskari wa majeshi yote Tz huwezi kuwaita takataka maisha yao ni mazuri sana kwa kiasi kikubwa kuliko maisha ya maaskari wa Jwtz,PT,MT, au ZM
 
Back
Top Bottom